Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 977
- 1,966
ππππ et zina blink blink aloooHii operation ningependa na dar ifanywe,umekaa zako kwenye ki ist chako unakuta mtu kakupiga spotlight za full tena zina blink blink.
Mpaka unachanganyikiwa
alf dereva kasokota zake rasi, kavaa ki t shirt chepesi, na kwenye boda kakaa upandeπ€£π€£π€£Hata zenye mziki zikamatwe tu maana saa 11 alfajiri ni masingeli barabarani hata hatujaamka
π€£π€£Yaani ukishaona hivyo kimbia hatari hio, kaa mbali, anaweza kukulaza miezi mingi pale MOI huyoalf dereva kasokota zake rasi, kavaa ki t shirt chepesi, na kwenye boda kakaa upandeπ€£π€£π€£
huku uswahilini kwangu wamejaa muda wowote wanapita kama mshare aseeπΉπ€£,,π€£π€£Yaani ukishaona hivyo kimbia hatari hio, kaa mbali, anaweza kukulaza miezi mingi pale MOI huyo
π€£π€£ Hawa jamaa ni hamnazo, yaani ukifikishwa salama unashukuru Mungu, halafu sio usafiri wa kuzoea utazikwa mapema sana maana yeye kulichomekea Semitrela haoni shidahuku uswahilini kwangu wamejaa muda wowote wanapita kama mshare aseeπΉπ€£,,
, kuna siku nilikua naenda mahali ila sipafaham vizuri, ikabidi nichukue boda,, mwanzoni kaanzisha singeli nikamwambia nina matatizo ya masikio naomba uzime,, kweli akanielewa,,
kimbembe kikaja kwenye chocho nilizo pitishwa et anaita shortcut weeee nilikoma plus huo mwendoπ€£π€£π€£ ikabidi nimwambie kama anataka kufa anishushe ili aendeleee na safari zake,, ndo akapunguza spid
nilipofika mwisho wa safari ilibidi nisali kwanzaπ€£π€£π€£π€£
ni kweli ila hamna namna,, wengine tunapokaa bajaji hazifiki ni lazima upande boda ili akusogeze barabarani otherwise utembee kwa miguu mpka barabara kubwa,,, na mimi asubuhi siwezi kutembea maana nitafika kibaruani nimechafuka au nimepata jasho au nimechokaπ€£π€£ Hawa jamaa ni hamnazo, yaani ukifikishwa salama unashukuru Mungu, halafu sio usafiri wa kuzoea utazikwa mapema sana maana yeye kulichomekea Semitrela haoni shida
Ndii mkuu ilimradi tu mtu uteseke,π₯²ππππ et zina blink blink alooo
SafiKamati ya Usalama ya Wilaya ya Arusha imeanzisha operesheni maalum ya kukamata pikipiki zinazokiuka sheria za usalama barabarani, hususan zile zinazotoa kelele za milipuko na zilizofungwa taa zenye mwanga mkali. Hatua hiyo inalenga kuboresha usalama wa usafiri na kupunguza kero kwa watumiaji wengine wa barabara pamoja na wananchi kwa ujumla.
Akizungumza katika Kituo Kikuu cha Polisi Arusha, Katibu Tawala wa Wilaya hiyo, Dkt. Jacob Julius Rombo, aliwataka waendesha bodaboda wanaoharibu mifumo ya pikipiki zao kuacha mara moja, akisisitiza kuwa kazi ya bodaboda ni muhimu lakini inapaswa kufanywa kwa kuzingatia sheria, kanuni na maadili ya kazi bila kusababisha usumbufu kwa jamii.
Kwa upande wake, Mkuu wa Polisi Wilaya ya Arusha SSP Georgina Matagi amesema kuwa katika operesheni iliyofanyika kwa miezi mitatu, jumla ya pikipiki 248 zenye taa kali na pikipiki 13 zinazotoa kelele kali zilikamatwa. Pia wamebaini baadhi ya pikipiki zinaficha namba za usajili kwa kuandika majina ya watu, jambo linalohusishwa na vitendo vya uhalifu.