Piko na Hinna; Mambo ya ukanda wa pwani hayo

Sema hawa ni waarabu, tuwekee dada zetu wenye ngozi zetu na waliochanganyika na mwarabu wale ndio wakali zaidi. Idumu kanda ya Pwani
 
Majini hapo hayachezi mbali japo kama mapaja, tumbo na msambwanda vinachorwa ni sawa tu. Majini tutapambana nayo[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️
Hamna mkuu ni urembo wakawaida huo, hivyo viumbe vinapenda vitu vya kunukia vizuri mfano pafyum nzuri zile za kunukia
 
Majini hapo hayachezi mbali japo kama mapaja, tumbo na msambwanda vinachorwa ni sawa tu. Majini tutapambana nayo[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️
Yop si ndiyo mazuri! hahahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…