Pilau kachumbari na matunda

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2022
Posts
25,258
Reaction score
48,589
Lamomy aliniomba nipike pilau ila mambo yakaingilia leo nikapata nafasi kwanza nialianza kuanda viungo pamoja na kitunguu swahumu, hoho,karoti na kitunguu maji


Wakati uho nilikuwa nimekata nyama ndogo ndogo ikiwa inachemka ilikuwa nusu na robo uswahili wanaita robo tatu


Nikawa nasubir nyama iive nakanza kukata kachumbali amboy ili uhusisha Nyanya moja ,karoti, tango moja na kitunguu maji kimoja

Baada ya kumaliza hapo nikaona nyama ipo tayari nikaanza kupika sasa ila kachumbari sikuweka chumvi lwasababu sije vujia maji ikawa na mchunzi sipendi mchuzi wa kachumbari .

Nikaweka sufuria jikoni nikiwa nimeweka mafuta


Baada ya kuona mafuta yamepata moto vizuri nikaweka nyama nilio chemsha kuna wengine wanapika nyama hawachemshi ila nashuri nyama ichemke sana jikoni


Baada ya kuona mafuta yamechemka vizuri nikatia nyama kama unavyoona hapo juu

Baadae nikawa naikaanga ili nyama iwe na rangi ya kahawia uku nikiwa nimetia kitunguu swahumu
Nilipoona rangi ya nyama ishakolea kuwa kahawia na kitunguu swahumu kimeiva nikatia kitunguu maji
Nikakikaanga na bada ya hapo nikaweka kiungo cha pilau pilau masala


Nikachukua karoti baada ya mchanganyiko wangu kuwa vizuri nikazikaanga

Baada ya hapo nikachukua nyanya nilio saga wakat nasaga nyanya niliweka mafuta kidogo ili iwe ya njano

Nikaisubir iive kidogo nikaweka mchele nilio letewa na shaanganzi tutunfye wa mwakaleli mbeya

Baada ya hapo nikakadilia maji nikauacha jikoni niakrudi jf kuchata


Nilifunika nikapunguza moto ukawa mdogo kabisa


Nilipo kuja kuangalia baada ya nusu saa nikaweka hoho sasa


Nilipo kuja kuaangalia baada ya dakika 15 chakula kikawa kimeiva vzr kabisa nikaipua na kuweka kwenye poti


Na nikaanda matunda yangu pia


Na sasa nakula karibuni

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…