mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
aisee, utamuiba lamomy wa watu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah ni ungonjwa wa ukoo 😂Mwenzetu meno umepeleka wap [emoji3]
Bonge la sotojo!..umetisha mkuu.Lamomy aliniomba nipike pilau ila mambo yakaingilia leo nikapata nafasi kwanza nialianza kuanda viungo pamoja na kitunguu swahumu, hoho,karoti na kitunguu maji
View attachment 3223752
Wakati uho nilikuwa nimekata nyama ndogo ndogo ikiwa inachemka ilikuwa nusu na robo uswahili wanaita robo tatu
View attachment 3223754
Nikawa nasubir nyama iive nakanza kukata kachumbali amboy ili uhusisha Nyanya moja ,karoti, tango moja na kitunguu maji kimoja
View attachment 3223755
Baada ya kumaliza hapo nikaona nyama ipo tayari nikaanza kupika sasa ila kachumbari sikuweka chumvi lwasababu sije vujia maji ikawa na mchunzi sipendi mchuzi wa kachumbari .
Nikaweka sufuria jikoni nikiwa nimeweka mafuta
View attachment 3223757
Baada ya kuona mafuta yamepata moto vizuri nikaweka nyama nilio chemsha kuna wengine wanapika nyama hawachemshi ila nashuri nyama ichemke sana jikoni
View attachment 3223758
Baada ya kuona mafuta yamechemka vizuri nikatia nyama kama unavyoona hapo juu
Baadae nikawa naikaanga ili nyama iwe na rangi ya kahawia uku nikiwa nimetia kitunguu swahumu
View attachment 3223760Nilipoona rangi ya nyama ishakolea kuwa kahawia na kitunguu swahumu kimeiva nikatia kitunguu maji
View attachment 3223762Nikakikaanga na bada ya hapo nikaweka kiungo cha pilau pilau masala
View attachment 3223764
Nikachukua karoti baada ya mchanganyiko wangu kuwa vizuri nikazikaanga
View attachment 3223770
Baada ya hapo nikachukua nyanya nilio saga wakat nasaga nyanya niliweka mafuta kidogo ili iwe ya njano
View attachment 3223780
Nikaisubir iive kidogo nikaweka mchele nilio letewa na shaanganzi tutunfye wa mwakaleli mbeya
View attachment 3223781Baada ya hapo nikakadilia maji nikauacha jikoni niakrudi jf kuchata
View attachment 3223783
Nilifunika nikapunguza moto ukawa mdogo kabisa
View attachment 3223785
Nilipo kuja kuangalia baada ya nusu saa nikaweka hoho sasa
View attachment 3223786
View attachment 3223787
Nilipo kuja kuaangalia baada ya dakika 15 chakula kikawa kimeiva vzr kabisa nikaipua na kuweka kwenye poti
View attachment 3223788
Na nikaanda matunda yangu pia
View attachment 3223790
Na sasa nakula karibuni
View attachment 3223793
Pole pole namvuta we subir uone 🤪aisee, utamuiba lamomy wa watu.
Karibu sanaDah nikaribishe basi
Tonge na nyama inanogaMbona tunyama umetukata twakichoyo Ivo tumekua kama korosho kwenye pilau
Njoo ukule au nikuletee
Sure karibuLinaonekana tamu😋😋😋
InapendezaAhsante kwa mapishi ila umenifunza
Ndio ndio mkuu tunakula kibishiMbona iko ndio chakula
😂😂 anaweza kijana wangu uyomshamba_hachekwi Mudi hata chai tu hawezi kupika eti. Namuacha.
Nakuja rafiki chap kwa haraka.Njoo ukule au nikuletee
Nini sasa 😂Kazi ipo dadeqq
pilau yaan pilau la watu sio ubwabwa huyu katuchanganya sana enzi zetu ukiambiwa pilau unatulia kweli kweli nadhani nimeelewekaNikajua ni pilau😁😁