Mlundilwa Jr
JF-Expert Member
- Dec 11, 2019
- 3,187
- 4,857
Ningekuja kwako kula kabisaa halafu unifundishe kwa vitendo siyo kwa njia ya ptr😂😂 unatenga 15k tu inatosha sana ungekuwa arusha ningekutumia nyama pori kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ningekuja kwako kula kabisaa halafu unifundishe kwa vitendo siyo kwa njia ya ptr😂😂 unatenga 15k tu inatosha sana ungekuwa arusha ningekutumia nyama pori kabisa
Nina uhakika asilimia mia kwamba wewe huwezi kupikaUnatakiwa upelekwe goma ukakomboe mji
Ulafi uho sasa 😂Aiseee chakula changu cha mda wote yaan pilau kama hili nangonga sahani mbili full mpaka nashindwa kuamka kama nmekaa😆😆😆
Kwanini mkuu 😂Hufai kwenye chama cha Mabachelor mkuu...
Nimeona mchele wa shangazi tuntufye kusini moja hiyo sio??
Kabisa mkuu kila kitu kinawezekana ni kuamua tuMwanetu unakitoa namna hiyo kweli mabinti watakubabaisha Nini... Usikate hapo geto umepangilia, vyombo vipo mahala pake geto linanukia. Aah
Poa tu kokote kambiUnatakiwa upelekwe goma ukakomboe mji
Kusini moja na mimi
Sogea au tuma bodaboda na kikontenaMkuu Nina vipi Sasa tumbo linanguruma hapa 🤣🤣🤣🤣
Me msukuma broSogea au tuma bodaboda na kikontena
Karibu sanaNingekuja kwako kula kabisaa halafu unifundishe kwa vitendo siyo kwa njia ya ptr
Babu nakihotipot chako hapa mtume mjukuu basiAiseeeeh!!!
Pamoja mkuu mwasalipa sanaKusini moja na mimi
Ahaha kesho zamu yako basiMe msukuma bro
NdagaPamoja mkuu mwasalipa sana
Sawa nitakuwa nachemsha sasa 😂Jitahidi kubalance unapika sana unaanza kuvuka msitari mwekundu.
View attachment 3223802
Mim kupika najua ila issue ipo kwenye kuosha vyombo,Kabisa mkuu kila kitu kinawezekana ni kuamua tu
Najua sana ila kutokana na uzee, vijana ndio wanajipikilishaNina uhakika asilimia mia kwamba wewe huwezi kupika
Aahh okay kesho nitafanya hivooAhaha kesho zamu yako basi