Pilau kachumbari na matunda

Pilau kachumbari na matunda

Huo muda Sina mkuu. Nakumbuka miaka hiyo nipo bachela ilikuwa nikinunua kiatu nikavaa wiki kikichafuka natia kwenye tenga nanunua kingine.. na soksi hivyo hvyo, nikaja kustuka ninarundo la maviatu
Ulikuwa na pesa boss
 
Lamomy aliniomba nipike pilau ila mambo yakaingilia leo nikapata nafasi kwanza nialianza kuanda viungo pamoja na kitunguu swahumu, hoho,karoti na kitunguu maji

View attachment 3223752
Wakati uho nilikuwa nimekata nyama ndogo ndogo ikiwa inachemka ilikuwa nusu na robo uswahili wanaita robo tatu

View attachment 3223754
Nikawa nasubir nyama iive nakanza kukata kachumbali amboy ili uhusisha Nyanya moja ,karoti, tango moja na kitunguu maji kimoja
View attachment 3223755
Baada ya kumaliza hapo nikaona nyama ipo tayari nikaanza kupika sasa ila kachumbari sikuweka chumvi lwasababu sije vujia maji ikawa na mchunzi sipendi mchuzi wa kachumbari .

Nikaweka sufuria jikoni nikiwa nimeweka mafuta

View attachment 3223757
Baada ya kuona mafuta yamepata moto vizuri nikaweka nyama nilio chemsha kuna wengine wanapika nyama hawachemshi ila nashuri nyama ichemke sana jikoni

View attachment 3223758
Baada ya kuona mafuta yamechemka vizuri nikatia nyama kama unavyoona hapo juu

Baadae nikawa naikaanga ili nyama iwe na rangi ya kahawia uku nikiwa nimetia kitunguu swahumu
View attachment 3223760Nilipoona rangi ya nyama ishakolea kuwa kahawia na kitunguu swahumu kimeiva nikatia kitunguu maji
View attachment 3223762Nikakikaanga na bada ya hapo nikaweka kiungo cha pilau pilau masala

View attachment 3223764
Nikachukua karoti baada ya mchanganyiko wangu kuwa vizuri nikazikaanga
View attachment 3223770
Baada ya hapo nikachukua nyanya nilio saga wakat nasaga nyanya niliweka mafuta kidogo ili iwe ya njano
View attachment 3223780
Nikaisubir iive kidogo nikaweka mchele nilio letewa na shaanganzi tutunfye wa mwakaleli mbeya

View attachment 3223781Baada ya hapo nikakadilia maji nikauacha jikoni niakrudi jf kuchata

View attachment 3223783
Nilifunika nikapunguza moto ukawa mdogo kabisa

View attachment 3223785
Nilipo kuja kuangalia baada ya nusu saa nikaweka hoho sasa
View attachment 3223786
View attachment 3223787
Nilipo kuja kuaangalia baada ya dakika 15 chakula kikawa kimeiva vzr kabisa nikaipua na kuweka kwenye poti

View attachment 3223788
Na nikaanda matunda yangu pia

View attachment 3223790
Na sasa nakula karibuni

View attachment 3223793
Limenukia had huku yummy yummy 😋

Ila kilichotokea kwenye katles ni huzuni 😹🤣

Nimecheka mpk mbavu zimeuma…!!
 
Hongera kwa kuukoroga mwiko ipasavyo.

Wacha niwe Dr. Janabi kwa muda:
1. Punguza hilo futa, linang’aa sana.
2. Kukiwa na fresh juice hakuna haja ya matunda.

Siku nyingine ongeza njegere kama ni mpenzi.

E43C084A-3BA6-4431-B407-F8ED817005E7.jpeg
 
Hapana uharibifu tu na kutokuwa na future, unajua ukiwa single bichwa halifanyi kazi saw sawa??
Iyo tabia ya kununua soky mpya kila zikichafuka nilikuwa nayo mimi shule ya msingi mama akajua iyo akaanza nipunguzia hela ya kula shule ananipa nauli na jero tu ya kula jumla 700 wakati alikuwa ananipa 3000 ananaimbia mwanangu sina hela akanikuta siku nafua soks akasema kumbe kufua unajua ila basi tu kuchezea hela now nakupa 200 tu 🙄 nilichukia sana
 
Back
Top Bottom