Happy easter jaman.....!
Kulingana na maneno ya watu wanasema pilipili inapunguza nguvu za kiume, imani yangu inanifanya niamini maana ukila pilipili halafu kama ni mwana riadha ni lazima utakuwa unachoka mapema..
Vip kuhusu TANGAWIZI ina effect hizo hizo.....! na inafaida gan mwilini?