Pilipili ina raha gani?

Naona hujui mbuzi katoliki akiwa na pilipili pembeni
Utakuwa ndugu wa kina yakhe wewe
 
[emoji23][emoji23][emoji23]walijua wageni wao wote ni wahindi nyie mlivamia harusi.
Hapana hatukuvamia,nimwenzetu kijiweni kwetu tunakopiga debe ,tusingeweza kuingia bila mwaliko.......wabantu tulikuwa 8 tu wengine wote wahindi
 
Kuna muhindi nilikutana nae Mwanza akitaka kupima pilipili Kama ni Kali ,anaikata anasugulia kwenye jicho.
Wenu mtiifu,
Mwalimu wa muziki na mapenzi.
 
Mashaallah, pilipili ndiyo mpango mzima hasa kwa tuliokaa muda mrefu west africa
Umenikumbusha kuna siku nikarishwa chakula wanigeria, asee nijuta.

Wale jamaa nao wanapenda sana pilipili.
 
Sijawahi kuilewa pilipili Mimi hata ile chili ya chips siwezi kuila
Nadhani sisi tutakuwa ni vipaji maalumu, maana hawa wenzetu wala hawaoni kama wajitesa[emoji23][emoji23][emoji23].
 
Kuwashwa kule ndo utamu wake.
 
Hujala ya mwendo kasi na halufu yake ile basi supu inashukaaa
 
Ukiachana na faida za kiafya. Pilipili inaongeza hamu ya kula. Pilipili ilivyo tamuuu mimi napenda pilipili uwiiii. Kwenye chai inabid nijaze black pepper ili ninywe.
Nywelo haipwiti?
 
wewe pilipili ni nzuri sana tena zile pilipili mbuzi
 
Sasa mimi hata nikijaribu Ile wanayosema wengine hamna kitu hapa, huwa naona ni balaa.

Pilipili kwakweli hapana.
hahahaha
mke wangu nae hataki kabisa habari za pilipil lanimimi mmh napenda sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…