Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Naona hujui mbuzi katoliki akiwa na pilipili pembeni
Utakuwa ndugu wa kina yakhe wewe
Utakuwa ndugu wa kina yakhe wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana hatukuvamia,nimwenzetu kijiweni kwetu tunakopiga debe ,tusingeweza kuingia bila mwaliko.......wabantu tulikuwa 8 tu wengine wote wahindi[emoji23][emoji23][emoji23]walijua wageni wao wote ni wahindi nyie mlivamia harusi.
Dah!...noma sanaUnapoila huku una Bawaziri.
Kweli..?Pia inaongeza na hamu ya kunanihii...
Kuwashwa kule ndo utamu wake.Habari za muda huu
Kama kichwa kinavyosema.
Japo tunatofautiana lakini twende mbele turudi hivi pilipili ina raha gani?
Kila nikijaribu ili niione kawaida kama wengine, asee naona hapana huku ni kujitesa, halafu unakuta kuna mtu haoni raha ya chakula bila ya pilipili.
Hivi mnasikia raha gani?
Yaani chakula kizuri, kitamu halafu unaongeza tena na pilipili aloo..........kwangu huko ni kuharibu chakula.
Watu ambao wapo serious wanajua kuwa kula pilipili ni kujiadhibu[emoji23][emoji23][emoji23] njooni taratibu.
Sure, ndio maana wahindi huwasikii wanalalamika, au Nigerians....ni kufyatuana Tu😂Kweli..?
Hujala ya mwendo kasi na halufu yake ile basi supu inashukaaaHabari za muda huu
Kama kichwa kinavyosema.
Japo tunatofautiana lakini twende mbele turudi hivi pilipili ina raha gani?
Kila nikijaribu ili niione kawaida kama wengine, asee naona hapana huku ni kujitesa, halafu unakuta kuna mtu haoni raha ya chakula bila ya pilipili.
Hivi mnasikia raha gani?
Yaani chakula kizuri, kitamu halafu unaongeza tena na pilipili aloo..........kwangu huko ni kuharibu chakula.
Watu ambao wapo serious wanajua kuwa kula pilipili ni kujiadhibu😂😂😂 njooni taratibu.
Nywelo haipwiti?Ukiachana na faida za kiafya. Pilipili inaongeza hamu ya kula. Pilipili ilivyo tamuuu mimi napenda pilipili uwiiii. Kwenye chai inabid nijaze black pepper ili ninywe.
hahahahaSasa mimi hata nikijaribu Ile wanayosema wengine hamna kitu hapa, huwa naona ni balaa.
Pilipili kwakweli hapana.