Pilipili ina raha gani?

Pilipili ina raha gani?

Habari za muda huu

Kama kichwa kinavyosema.

Japo tunatofautiana lakini twende mbele turudi hivi pilipili ina raha gani?

Kila nikijaribu ili niione kawaida kama wengine, asee naona hapana huku ni kujitesa, halafu unakuta kuna mtu haoni raha ya chakula bila ya pilipili.

Hivi mnasikia raha gani?

Yaani chakula kizuri, kitamu halafu unaongeza tena na pilipili aloo..........kwangu huko ni kuharibu chakula.

Watu ambao wapo serious wanajua kuwa kula pilipili ni kujiadhibu😂😂😂 njooni taratibu.
Utamu wa pili pili upo kwenye uchungu wake
 
Uzi bila picha............

Matayarisho ya pishi la pilipili.
20210429_125748.jpg
 
Back
Top Bottom