- Thread starter
- #41
Hayo mapande kati nayaweka na ndimu niliyochanganya na thomu na pilipili ya unga....we ..mhhh asoweza pilipili lazima chozi limtoke..lol
Ila tusiache kunywa maziwa kwa wale wadau wa 'mbuzi'!!
Na karot nyembamba waisaga kwa kile cha kupario utamu hadi kisogoni