Pilipili nzuri ya nyama choma/mishkaki

Hayo mapande kati nayaweka na ndimu niliyochanganya na thomu na pilipili ya unga....we ..mhhh asoweza pilipili lazima chozi limtoke..lol
Ila tusiache kunywa maziwa kwa wale wadau wa 'mbuzi'!!

Na karot nyembamba waisaga kwa kile cha kupario utamu hadi kisogoni
 
Thanks Dear hii ni rahihi kuiandaa
Expired date yake inakuwaje ?:redface:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…