S sky_haf JF-Expert Member Joined Oct 7, 2012 Posts 220 Reaction score 23 Nov 14, 2012 #1 wakuu naomba tujuzwe faida na hasara za hii kitu
Asante JF-Expert Member Joined Dec 18, 2009 Posts 2,086 Reaction score 1,081 Nov 15, 2012 #2 Pilipili tamu Pilipili zafarani Pilipili kichaa Pilipili mboga Pilipili nyeusi, nk.. Unazungumzia pilipili ipi?
Pilipili tamu Pilipili zafarani Pilipili kichaa Pilipili mboga Pilipili nyeusi, nk.. Unazungumzia pilipili ipi?
S sky_haf JF-Expert Member Joined Oct 7, 2012 Posts 220 Reaction score 23 Nov 15, 2012 Thread starter #3 pilipili kichaa
Nyange JF-Expert Member Joined Mar 25, 2010 Posts 3,517 Reaction score 1,869 Nov 15, 2012 #4 Mkuu kama unaongelea pilipili mboga mi inanishangaza, kila nikila chakula lazima niweke pilipili japo inaniwasha na wakati mwingine machozi yananitoka lakini siiachi, kweli nami hapo nataka kujua huwa inanini?
Mkuu kama unaongelea pilipili mboga mi inanishangaza, kila nikila chakula lazima niweke pilipili japo inaniwasha na wakati mwingine machozi yananitoka lakini siiachi, kweli nami hapo nataka kujua huwa inanini?
Kaunga JF-Expert Member Joined Nov 28, 2010 Posts 12,529 Reaction score 13,494 Nov 15, 2012 #5 Inasaidia kuongeza Ladha kwenye chakula Metabolism hivyo husaidia kuunguza body fat Pia husaidia katika kutibu rheumatism, neralgia (hii ni kwa [pilipili kichaa)
Inasaidia kuongeza Ladha kwenye chakula Metabolism hivyo husaidia kuunguza body fat Pia husaidia katika kutibu rheumatism, neralgia (hii ni kwa [pilipili kichaa)
ndetichia JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,767 Reaction score 6,575 Nov 15, 2012 #6 inasaidia pia kuongeza vitamini C na kuongeza speed ya sperms kwa wanaume tu..
S sky_haf JF-Expert Member Joined Oct 7, 2012 Posts 220 Reaction score 23 Nov 15, 2012 Thread starter #7 ahsanten wakuu, kwa wenye ujuzi akatumalizia na aina hizo nyengne za pilipili itakua uzur zaid wa kuelewa
ahsanten wakuu, kwa wenye ujuzi akatumalizia na aina hizo nyengne za pilipili itakua uzur zaid wa kuelewa