pilipili (pepper)

pilipili (pepper)

Pilipili tamu
Pilipili zafarani
Pilipili kichaa
Pilipili mboga
Pilipili nyeusi, nk..

Unazungumzia pilipili ipi?
 
Mkuu kama unaongelea pilipili mboga mi inanishangaza, kila nikila chakula lazima niweke pilipili japo inaniwasha na wakati mwingine machozi yananitoka lakini siiachi, kweli nami hapo nataka kujua huwa inanini?
 
Inasaidia kuongeza
  • Ladha kwenye chakula
  • Metabolism hivyo husaidia kuunguza body fat
  • Pia husaidia katika kutibu rheumatism, neralgia (hii ni kwa [pilipili kichaa)
 
inasaidia pia kuongeza vitamini C na kuongeza speed ya sperms kwa wanaume tu..
 
ahsanten wakuu, kwa wenye ujuzi akatumalizia na aina hizo nyengne za pilipili itakua uzur zaid wa kuelewa
 
Back
Top Bottom