Nimeshinda salama dear!!Maaraahaabaaaa Sakayooo umeshindajeee!!??
Aaahhahahahaaa usijali, Watu ni mkufunzi mzuri sana, atakuelezea kila kitu.
HahahahahahahaAahahahahahhaaaa Sakayo, you need to be an artist sometimes looh. This life is so possible to live wrinkle free aahahahahahaaa.
Wee jiandaee mamaa, utapatiwa massage ya macho hujawahi ona na ukitoka hapo macho yako yanakuwa imara na angavu zaidi ya yalivyokuwa mwanzo....
It's okay and all is well do not worry....
Nimeshinda salama dear!!
Watu8 naona kama simuelewi jamani
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unanionea mimi jamani dada
Hahahahahahaha
Hizo lugha zenu zimenishindaaaaa bora ni[emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]
[emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]Aahahahahhaaa ngoja nimuite akuje kujinagaubaga hapa, waaatuuuuuuu, sukariiiiiiii...... shuuugaaaaaaaa.....
Uje na pamfleti lenye maelezo yote hadi Sakayo akuelewe, usikawie tafadhali.
Asante sana jamaniJamaaniii sijakuonea hata ila mie napenda ndugu zangu wakae kwa upendo daima milele dumu. Sasa huyu sukari anavopenda kuvaa hedifoni hapo unaweza kumuita hata hasikii....
Acha aje akupe massage ulale usingizi mnono ukiamka asubuhi macho angavuuuu....
Waaaatuuuuuuuuu....
Dah ...[emoji2960]Aahahahhahaaa acha roho mbayaa, ni waafrika pekee wenye uzao mwingi duniani hata uwatese vipi wanazaana tuu.
Kwanza zile mbegu za pilipili mwanaume akizimeza nzima nzima anaongeza nguvu za kiume na manii zinakuwa nyingi na nzito.
Dah ..nimesikia tu[emoji2960]Aahahahhahaaa acha roho mbayaa, ni waafrika pekee wenye uzao mwingi duniani hata uwatese vipi wanazaana tuu.
Kwanza zile mbegu za pilipili mwanaume akizimeza nzima nzima anaongeza nguvu za kiume na manii zinakuwa nyingi na nzito.
Hahahahahahah kweli matata ni ya kasie.Nipitie si unajua gulioni watu wengi, watanikwiba.....mi naogopaa...
Mie naipenda ile pilipili ya mbuzi,
Si ndio mbuzi kagoma eeh!!
Natumai mpaka mie nasoma uzi bibie kaishapona huko kwa bibi! Siku nyingine anawie maziwa! Ule muwasho unakatika fasta!