Pilipili ya mwendo kasi

Pilipili ya mwendo kasi

Maaraahaabaaaa Sakayooo umeshindajeee!!??

Aaahhahahahaaa usijali, Watu ni mkufunzi mzuri sana, atakuelezea kila kitu.
Nimeshinda salama dear!!
Watu8 naona kama simuelewi jamani
 
Watu8 ukuje huku, tayari kwa zoezi la kuondoa muwasho...
Mhamasiko ushatimia.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unanionea mimi jamani dada
 
Aahahahahahhaaaa Sakayo, you need to be an artist sometimes looh. This life is so possible to live wrinkle free aahahahahahaaa.

Wee jiandaee mamaa, utapatiwa massage ya macho hujawahi ona na ukitoka hapo macho yako yanakuwa imara na angavu zaidi ya yalivyokuwa mwanzo....

It's okay and all is well do not worry....
Hahahahahahaha
Hizo lugha zenu zimenishindaaaaa bora ni[emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]
 
Nimeshinda salama dear!!
Watu8 naona kama simuelewi jamani

Aahahahahhaaa ngoja nimuite akuje kujinagaubaga hapa, waaatuuuuuuu, sukariiiiiiii...... shuuugaaaaaaaa.....

Uje na pamfleti lenye maelezo yote hadi Sakayo akuelewe, usikawie tafadhali.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unanionea mimi jamani dada

Jamaaniii sijakuonea hata ila mie napenda ndugu zangu wakae kwa upendo daima milele dumu. Sasa huyu sukari anavopenda kuvaa hedifoni hapo unaweza kumuita hata hasikii....

Acha aje akupe massage ulale usingizi mnono ukiamka asubuhi macho angavuuuu....

Waaaatuuuuuuuuu....
 
Hahahahahahaha
Hizo lugha zenu zimenishindaaaaa bora ni[emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]

Sasa unakwenda wapii mamii, kama unakimbilia massage room sawa ila kama unaenda njia nyingine tegemea kudakwa na Nissan Nyeupe na dereva ni Msafiri.

With Watu8 hizi lugha utazijua tuu....

Kasinde.
 
Aahahahahhaaa ngoja nimuite akuje kujinagaubaga hapa, waaatuuuuuuu, sukariiiiiiii...... shuuugaaaaaaaa.....

Uje na pamfleti lenye maelezo yote hadi Sakayo akuelewe, usikawie tafadhali.
[emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]
 
Jamaaniii sijakuonea hata ila mie napenda ndugu zangu wakae kwa upendo daima milele dumu. Sasa huyu sukari anavopenda kuvaa hedifoni hapo unaweza kumuita hata hasikii....

Acha aje akupe massage ulale usingizi mnono ukiamka asubuhi macho angavuuuu....

Waaaatuuuuuuuuu....
Asante sana jamani
 
Sasa unakwenda wapii mamii, kama unakimbilia massage room sawa ila kama unaenda njia nyingine tegemea kudakwa na Nissan Nyeupe na dereva ni Msafiri.

With Watu8 hizi lugha utazijua tuu....

Kasinde.
[emoji2296][emoji2296][emoji2296]
 
Aahahahhahaaa acha roho mbayaa, ni waafrika pekee wenye uzao mwingi duniani hata uwatese vipi wanazaana tuu.

Kwanza zile mbegu za pilipili mwanaume akizimeza nzima nzima anaongeza nguvu za kiume na manii zinakuwa nyingi na nzito.
Dah ...[emoji2960]

Sent using Beretta ARX 160
 
Dah ..nimesikia tu[emoji2960]

Sent using Beretta ARX 160
 
Mie naipenda ile pilipili ya mbuzi,
Si ndio mbuzi kagoma eeh!!

Natumai mpaka mie nasoma uzi bibie kaishapona huko kwa bibi! Siku nyingine anawie maziwa! Ule muwasho unakatika fasta!
 
Mie naipenda ile pilipili ya mbuzi,
Si ndio mbuzi kagoma eeh!!

Natumai mpaka mie nasoma uzi bibie kaishapona huko kwa bibi! Siku nyingine anawie maziwa! Ule muwasho unakatika fasta!

Mareale makaveli aahahahahahaa yaani weeweee.....

Muwasho wa mwendo kasi ndo mpango mzima, mbuzi mie alikuwa hanikolei utamu aahahahahahaaa kwaheriiiii....

Ila asante kwa elimu ya kukata muwasho.

Gracias.
 
Uzi umekata kimitego mitego..
Pili Pili kichaa ambayo useme unywe maji kupunguza makali ndio kwanza waikoleza.
 
Back
Top Bottom