Pilipili ya mwendo kasi

Pilipili ya mwendo kasi

Alililillillililililililiiiiiiiii

Haya wasomaji wekeni majifya mkachambue mchele, muda ukifika mniambie nije na mwendo kasi.....

Kasinde Matata.
Aaaassssssssss...mwendokasi wawasha washa
 
Ahahaahaaaaaa.....imba Kasie...imba kiasali...imba matata.....imba K-mahaba..imba...ooooh...yeeeaaah..imba..uuuuuh!...imba...Kasie imba...imba...

.......you are killing me softly with your words, you are killing me softly with your touch holding my waist tight, with your voice penetrating softly....in my ears......

Aaahahahahhahaaaa kiasali kiasali.....

Hold me tight, touch my thighs, I don't want to leave back home without you....

Kasinde Matata.
 
.......you are killing me softly with your words, you are killing me softly with your touch holding my waist tight, with your voice penetrating softly....in my ears......

Aaahahahahhahaaaa kiasali kiasali.....

Hold tight, touch my thighs, I don't want to leave back home without you....

Kasinde Matata.
Mmmmmmmmmhhhhhhhhh......

Ishia kwanza hapo chombo kimeshanyanyuka
 
Punguza basi kiasali ntazimia mwenzio, mzigo mzito huo ujue....

Dar hadi Uyui bado parefu.... aaaahahahaaaa
Uyui.....kuleeeeeee kunako miti mingi ya pori miti..yaaan miti..miti..miti..miti...

Tutachana mbao eti!!
 
Mmmmmmmmmhhhhhhhhh......

Ishia kwanza hapo chombo kimeshanyanyuka

Aahaahahhahaaa usijali, ziko nyimbo za kuleta usingizi, chombo kitalala fofofooo....

Laalaaa choomboo, usiwe na hofuuu
Ukiwa umelala, K' Matata atakuwa anakupikia nswalu na matobolwa, lalaaa choombooo.....

Aahahahahahaaaa kiasali nnini lakini, mbona hivyo?
 
Uyui.....kuleeeeeee kunako miti mingi ya pori miti..yaaan miti..miti..miti..miti...

Tutachana mbao eti!!

Aahahahahahaaa umenikumbusha zamanii tukiimba....

Athumani nipasulie mbao, alia kweecheee kweecheee, alia kweecheee msumenoo..

Huko kupasua mbao huko, shoka likikatika halahala tusianze kupigana miti kwa kutafuta nani kasababisha shoka likakatika.
 
Aahaahahhahaaa usijali, ziko nyimbo za kuleta usingizi, chombo kitalala fofofooo....

Laalaaa choomboo, usiwe na hofuuu
Ukiwa umelala, K' Matata atakuwa anakupikia nswalu na matobolwa, lalaaa choombooo.....

Aahahahahahaaaa kiasali nnini lakini, mbona hivyo?
Uuuuuuuuuuuuuhhhhhhhhhhhh......nswalu....ooooohhhhhhhhh...ssssssssssss

Kiasali K Kasie matata K
 
Aahahahahahaaa umenikumbusha zamanii tukiimba....

Athumani nipasulie mbao, alia kweecheee kweecheee, alia kweecheee msumenoo..

Huko kupasua mbao huko, shoka likikatika halahala tusianze kupigana miti kwa kutafuta nani kasababisha shoka likakatika.
Waaaaaoooouuuuuuuuu....kupiga-na miti .... kupiga-na miti..piga-na miti...miti..miti..miti..miti

Kasie niiiin lakini!!!!
 
Waaaaaoooouuuuuuuuu....kupiga-na miti .... kupiga-na miti..piga-na miti...miti..miti..miti..miti

Kasie niiiin lakini!!!!

Ahahahaaaa chombo akiamka tena shauri yako....usije ukachepuka tuu eeheheheee.
 
Hizo pilipili sio mchezo Kuna siku nipizimenya nyingi na mkono nilikua natoa mbegu ili zisiwe na ukali sana, matokeo yake mikono ilikuwa ina Waka moto siku nzima, ni mwendo wa kuloweka mikono kwenye maji, Yaani huwezi fanya shughuli nyingine
Sifa zake:

Inanukia vizuri
Kumvutia mlaji kuwa na hamu ya kula chakula hata kama hakuna ladha.
Inaongeza namna ya kifikiri...
Ni tamu, kuwasha kwake ndo utamu wenyewe.
Inapatikana kwa wingi na bei yake si mbaya.

Angalizo:

Ni kali mithili ya pilipili mbuzi
Kama una hasira za haraka unaweza kupandisha ukichaa
Ukila na chakula cha moto sanaa tegemea au jiandae kukinga au kufuta kamasi mchuruziko.
Nyingine siri ya kambi, uhondo wake ichukue itafune pamoja na chakula chako halafu utupe mrejesho, yamekukuta?

Saasaa baanaa, Kilichomkuta bi Zinduna na pilipili ya mwendo kasi hana hamu.

Bi Zinduna ametoka kwenye mishughuliko yake anasikia njaa maana hakupata muda wa kula siku nzima. Baada ya kupambana na foleni ya siku nzima akafika nyumbani na kukuta dada ameshatayarisha chakula. Akafika moja kwa moja mezani na kupakakua chakula kisha akachukua pilipili ule ya mwendo kasi, akaikata vipande vinne kwa mkono na ukiweka kwenye sahani tayari kuilumanga.

Ghafla akasikia kwenda haja ndogo, kisha akajiambia amalize kula kwanza ndiyo aende ili afurahie mlo wake na asikatishwe na haja. Shika mwendokasi tonge nyama, tonge pilipili Ila taarifa ya haja ndogo kubana ikawa palepale. Akaamua kunyanyuka mezani na kuelekea msalani. Huko akanawa mikojo na maji kisha akamaliza haja yake akajiswafisha na maji maeneo pendwa ili arudi kula kwa uhuru zaidi na kufurahia chakula.

Weeh, ile amekaa mezani akasikia mmhh mbona kama kuna sisimizi wanamng'ata huko eneo pendwa, yooh muwasho ukaanza akashindwa kuhimili na kuanza kujikuna juu ya nguo. Kumbe anavozidi kujikuna muwasho nao unazidi kuchachamaa.

Chakula hakikulika tena maana pilipili ya mwendo kasi ilishafanya yake ikabaki vidoleni alivyoenda msalani kujiswafi akapaka muwasho hukooo. Ikabidi anyanyuke mezani, kachukua barafu na kuzibandika ili muwasho upungue ila ilikuwa kila baada ya dakika kadhaa anapiga yowee... ya motooo! ya motooo!

Angalizo jingine:

Ukila pilipili ya mwendo kasi na ukaipasua na kuishika na mikono yako, chondechonde usijiguse kwenye ngozi yako.

Pilipili ya Shamba, yakuwashia nini?

Cheers to hot pepper!!.

Matata the K.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo pilipili sio mchezo Kuna siku nipizimenya nyingi na mkono nilikua natoa mbegu ili zisiwe na ukali sana, matokeo yake mikono ilikuwa ina Waka moto siku nzima, ni mwendo wa kuloweka mikono kwenye maji, Yaani huwezi fanya shughuli nyingine

Sent using Jamii Forums mobile app

Yaani hizi pilipili ni balaa, kama kwenye mikono tuu zinawasha hivyo pata picha kwenye ujiguse kwenye ngozi ya eneo pendwa.....
 
Pilipili ni dawa atii...
Inatibu hali ya kuongeza hamu ya kula, yaani chakula wakiona kitamuu, wajikuta walaa tuu.
Utamu kunoga kuzidi sukari....
Sasa nimejua siri ni nini. Asante kwa kufungua huu uzi

God save us
 
Back
Top Bottom