shansarie
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 5,690
- 3,367
hata mi nimeona kuna maswali mengi sana hayajaulizwa hapaMbona hii interview kama imekatishwa kigaidi sana?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hata mi nimeona kuna maswali mengi sana hayajaulizwa hapaMbona hii interview kama imekatishwa kigaidi sana?
me i know why but i choose to zip ma mouth
tena nina wivu balaaaHahahaaaa chezea wivu wewe,mambo vipi lakini mrembo?
tena nina wivu balaaa
najiamini sana ila hawa watu we acha tu inabidi uwe na jicho la ziadaHahaaa jiamini bibie lol
acha kuwa king"ang"anizi wewePM tu jamani,mwambie sichukui chochote zaidi ya hilo jibu ulilonalo kichwani,vingine vyote namuachia yeye
najiamini sana ila hawa watu we acha tu inabidi uwe na jicho la ziada
acha kuwa king"ang"anizi wewe
hata wewe hukunielewa vizuri nilimaanisha acha kukomalia nikueleze nnachofikiriaDuh! Ume complicate kwelikweli,wala sikuwa huko lkn.
hilo nalijua mbona nilimwambia akichomoka hapati mwingine atakufa mgumbaUsijali bibie huyo ni wako tu hachomoki!
hilo nalijua mbona nilimwambia akichomoka hapati mwingine atakufa mgumba