Pillow Talk: Lies of True Love..

Pillow Talk: Lies of True Love..

vale. kufika kileleni ni ujanja wa styles ama ni kupenda?
do u think any sex position inaweza kukufikisha kileleni?

Nadhani ni kupenda na inatokana na maandalizi kila mmoja anavomuandaa mwenzie ili afike mlimani hizo style ni kama kachumbari tu.
 
Nadhani ni kupenda na inatokana na maandalizi kila mmoja anavomuandaa mwenzie ili afike mlimani hizo style ni kama kachumbari tu.

sawa!!
simple qn... jamaa yako huyu mtarajiwa wa sasa uliwahi kumpiga pesa?
 
ha ha ha ...hili swala la mwanamke kuwa kwenye mahusiano na kulalamika kuchezewa we unalichukuliaje?

Linazidi kushika kasi ila kwa upande wetu wanawake tujitahidi kurekebisha kasoro zinazoweza kuvunja mahusiano na kuangalia mahali unapowekeza moyo wako coz sehem zingine si salama sasa ukikabidhi moyo sehem kama hiyo mwisho wa siku penzi lazima liyumbe ndipo huzaa malalamiko. Japo ni ngumu kutambua wapi ni sahihi ila ukitumia muda vizuri kwa umakini unaweza ukabaini pia kufanya ibada ni muhimu
 
katika kukua kwako uliwahi kulalamika kuchezewa?
 
daah!! sawa nijue msimamo wako sasa, kuna true love bila uongo hata kidogo?

then, katika maisha yako uliwahi kuishi na mwanaume?

Sina hakika kama kuna true love bila kauongo. Sijawahi kuishi na mwanaume(kinyumba)
 
Sijawahi kufall inlove online

wewe binafsi haya maswala unayachukuliaje?
1. sex za jinsia moja haswa lesbianism
2. kusex kinyume na maumbile wanasema tigo. (mwanamke kukubali kuingiliwa kinyume na maumbile)
 
wewe binafsi haya maswala unayachukuliaje?
1. sex za jinsia moja haswa lesbianism
2. kusex kinyume na maumbile wanasema tigo. (mwanamke kukubali kuingiliwa kinyume na maumbile)

Binafsi sifurahishwi na mambo hayo licha ya kwamba inakupunguzia utu lakini pia ni kinyume na mapenzi ya Mungu wanaofurahia hayo wajitafakari upya.
 
Binafsi sifurahishwi na mambo hayo licha ya kwamba inakupunguzia utu lakini pia ni kinyume na mapenzi ya Mungu wanaofurahia hayo wajitafakari upya.

utaweza kuachana na boy wako siku akikuomba tigo?
 
how will you escape that? assume ndiyo uko kwenye game, all the way to kileleni..
akaamua kubadili mapigo...utafanya nini?

Dahh nikishtukia nastopisha game vinginevo labda sijui iweje ila nitakapogundua huo ndo utakua mwisho. Nachukia sana huo mchezo na Mungu aniepushe
 
Back
Top Bottom