Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,252
Huyo atakuwa Pogba wa tz maana si mzeefu wa usafiri wa anga licha ya kuupenda sana ktk manunuzi!Jamaa alipanda ndege kwenda Dubai,
economy class ndio ilikua ticket yake.
Akaenda kuketi 1st class.
Mhudumu akamsihi jamaa mbishi,
pilot msaidizi nae jamaa kagoma kuhama.
Pilot mkuu akaja na kumnong'oneza ndipo jamaa akakubali kuhama.
Pilot msaidizi na mhudumu wakamuliza amewezaje kumconvince
Akajibu "simple nimemuambia 1st class haiendi Dubai, economy class ndio inaenda Dubai"
Pilots hawatakagi ujinga
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huyo atakuwa Pogba wa tz maana si mzeefu wa usafiri wa anga licha ya kuupenda sana ktk manunuzi!