PILOTS HAWATAKAGI UJINGA

PILOTS HAWATAKAGI UJINGA

Red Scorpion

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2012
Posts
5,736
Reaction score
4,252
Jamaa alipanda ndege kwenda Dubai,
economy class ndio ilikua ticket yake.

Akaenda kuketi 1st class.

Mhudumu akamsihi jamaa mbishi,

pilot msaidizi nae jamaa kagoma kuhama.

Pilot mkuu akaja na kumnong'oneza ndipo jamaa akakubali kuhama.

Pilot msaidizi na mhudumu wakamuliza amewezaje kumconvince

Akajibu "simple nimemuambia 1st class haiendi Dubai, economy class ndio inaenda Dubai"

Pilots hawatakagi ujinga
 
Huyo atakuwa Pogba wa tz maana si mzeefu wa usafiri wa anga licha ya kuupenda sana ktk manunuzi!
 
Huyo atakuwa Pogba wa tz maana si mzeefu wa usafiri wa anga licha ya kuupenda sana ktk manunuzi!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] yan apo anamaanisha jamaa walikuwa wanatumia nguvu kubwa kumtoa mpumbav..mdanganye tu sabab hana akili
 
Back
Top Bottom