Pima uwezo wako wa kufikiria hapa>>>>>>>>>>>

Pima uwezo wako wa kufikiria hapa>>>>>>>>>>>

Habari zenu Wana JF, naamini wote ni wazima wa afya.

Bila kupoteza muda twende kwenye swali langu la leo.

----------------------------------------------------------------
Mwalimu alisema "Laiti Jana ingekuwa Kesho, Leo ingekuwa Ijumaa".

Je Mwalimu aliyasema hayo siku gani?
----------------------------------------------------------------

Nategemea Jibu kutoka kwenu.
Asanteni.

Huyo mwalimu atakuwa ni gfsonwin u,kama siye basi ni snowhite
 
Last edited by a moderator:
Wajukuu wana mambo hawa, haya wacha tuwafafanulie
Hiyo siku ni Jumaatano-
1. Laiti jana ingekuwa kesho maana yake kama Jumaane kuwa Alhamis;
2. Leo (Jumaatano alipotamka) ingekuwa Ijumaa (siku baada ya Alhamis)
Haya mjukuu wangu Saudari funga huu mjadala, likiletwa tena hili kwenye hiyo NECTA yenu ya mwaka sitarajii upate Zero tena kama ile ya mwaka jana

References:
1. Backouse I&II (Conditional Probability theorem)
2. Engineering Mathematics (quantum theory
3. Michael Todaro (Human thoughts capacity theory)
4. Njama/Willy Gamba(kibegabega principle)
6. Fukuyama F, (The End of History-funga mjadala wako)
 
Back
Top Bottom