vkeisy2006
JF-Expert Member
- Mar 26, 2010
- 229
- 99
ghafla tu mwenzako unaeishi nae ndani anaweka pin code kwenye simu ni inakua nini maamuzi,uoga au ni kutaka privacy maana nashindwa kuelewa na hiyo pincode hampi mwenzie hivi inawezekana kweli kwa uhusiano ulio wazi.....
inawezekana kwa sababu simu ni ya mtu binafsi si ya kushare.....na ukitaka kutumia lazima uombe
Privacy and security, why should u fiddle around with my phone?
Hii safi sana maana cmu husababisha ndoa na mahusiano kuvunjika.
Wewe unapekua pekua cmu ya mmeo ya nn?
Je na yeye akiwa anapekua pekua kipima joto chako anahesabu chupi ulizo vaa kwa siku hiyo kisha anazinusa kama kuna harufu ya nanihii utajisikiaje? Mambo ya cmu ya mtu wako achana nayo bana ile ni ya kwake na wewe unayo ya kwako
Anataka achungulie siri za jeshi huyo
Sio kwamba labda sababu mtu anaogopa kwamba labd anikishika ntakuta mambo ya ajabu humo....mana kutwa sim kibindoni
FirstLady kwahiyo inabidi akifika nyumbani aitoe pin code for investigation au?