Askofu
JF-Expert Member
- Feb 14, 2009
- 1,664
- 87
wewe mtumishi wa mungu nawewe pincode ya nini hizi ni kwa wanandoa tu wewe si mseja?
Ahaaa.... kumbe!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wewe mtumishi wa mungu nawewe pincode ya nini hizi ni kwa wanandoa tu wewe si mseja?
:whip:
hahaha mpwa kwema kabisa......duh....hii SEACOM fever naona imeathiri wapwa wengi hapa hawaonekani
hahaha...usalule iko juu mpwa......sasa wa mchangani anataka kupekua simu tena ama ndo kapewa kidoela anataka mkono mzima?
kuna wanawake wengine hawawapi waume zao password ya email zake ............
sasa nafikiri wanaume wao wamekuja na style ya pincode ya simu 🙂
kwanini nimpe password ya email? I think its a big deal mie simpi mtu no password... my mobile and Blackberry all have pin codes... no one is allowed to touch 'em..everyone need privacy bana...kuna wanawake wengine hawawapi waume zao password ya email zake ............
sasa nafikiri wanaume wao wamekuja na style ya pincode ya simu 🙂