Mimi bwana ushauri wangu ni kwamba, usimpe mtu sababu ya kukufikiria vibaya, Pincodes etc etc
Cha muhimu ni kuelewana kuhusu mahusiano yenu pia kuwa na certain rules on your relationship
Huwezi amini mimi na mwenzi wangu tumeweza kulidhibiti hili kiasi cha kwamba hata simu ya mwenzio akiita hayupo, hupokei na pia kama yupo
basi wampelekea umeigeuza display yaangalia chini
Tusiwe na tabia ya kuwa soo negative kila wakati kila wakati, its not good for Us
NAMALIZIA: simu yangu ina pincode ndiyo,... lakini ni ile ya wakati wa kuwasha tuu, baada ya hapo, you can navigate popote ndani ya simu
Ni maoni yangu tuu