Pinda agutuka kumbe UDOM imejengwa jangwani.................

Pinda agutuka kumbe UDOM imejengwa jangwani.................

Watu badala mjadili core matter mnabaki kushadadia mavazi ya ndani ya hao mabinti.kwani huyo pm ye hatumii mavazi hayo?acheni ushabiki wa kitoto.
 
Hawa wanafunzi nao mabishoo. Kwani wenyeshi wa maeneo hayo si wanaishi? wanapata wapi maji, na wao its high time wajitahidi wa-coap na situation. Wanasaau shida zilizo watoa kwao?
 
Anachoshangaa nini sasa! hadi mtu afe ndo ashike mdomo! hebu akafanye kazi huko asijekuniudhi zaidi!
01_11_u0xrjx.jpg

SOMETHING seems to disgust Prime Minister Mizengo Pinda (right) at a female students’ room when he visited halls of residence at the University of Dodoma on Sunday. The university faces acute water shortage. (Photo by PMO)
 
Back
Top Bottom