PINDA Amevunja Sheria, ASHTAKIWE

Head teacher

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2012
Posts
1,796
Reaction score
412
kwa kuwa pinda amevunja katiba ya jmt aliyoapa kuilinda kwa kuaziga mtu anayevunja katiba apigwe, nawashauri wanasheria wa chadema wafuate taratibu za kumuondolea kinga ya bunge ili aburuzwe mahakamani. Kauli hiyo ya pinda ikiachwa bila kutafsiriwa italeta vifo vya vibaka, wananchi wasio na hatia, majangili, mafisadi, magaidi, nk kuuwawa na polisi, serikali, wananchi wenye hasira kali, nk.
 
Nadhani anayo kinga ya kibunge. Labda kama ni kumwajibisha kwa kutumia kanuni za bunge.
 
Alafu huyu jamaa wanadai mke wa kwanza alifariki, hivi ameshacheki CD4 zake kama zinamtosha au anaendelea na dozi ya zile dawa za MADABIDA!!
 
There is no judgement against thinking, therefore I think this man has got a twisted mind..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…