Head teacher
JF-Expert Member
- Mar 10, 2012
- 1,796
- 412
kwa kuwa pinda amevunja katiba ya jmt aliyoapa kuilinda kwa kuaziga mtu anayevunja katiba apigwe, nawashauri wanasheria wa chadema wafuate taratibu za kumuondolea kinga ya bunge ili aburuzwe mahakamani. Kauli hiyo ya pinda ikiachwa bila kutafsiriwa italeta vifo vya vibaka, wananchi wasio na hatia, majangili, mafisadi, magaidi, nk kuuwawa na polisi, serikali, wananchi wenye hasira kali, nk.