Josh Michael
JF-Expert Member
- Jun 12, 2009
- 2,523
- 87
Hivi Pinda anamaanisha nini hasa? kwa kusema fedha ni za serikali? na eti serikali ni ya CCM. Hivi yamekuwa hayo jamani, yaani fedha si za mtanzania mlipa kodi wa nchi hii. Na je, serikali pia si ya wananchi? eti ya CCM? CCM wamepewa dhamani tu ya kuisimamia. Kwa maoni yangu Pinda anamatatizo hasa ya ku-reflect anachokisema."barabara hiyo"alisema Pinda na kuongeza:
"Mheshmiwa Spika labda niseme hivi serikali ni ya chama chetu, fedha ni za serikali ya CCM na barabara zinajengwa na CCM, labda mheshmiwa Zitto pamoja na Chadema yake wangeniambia tu, Waziri serikali yako imejitahidi sana"aliongeza Waziri Mkuu.
Pinda alisema, alitegemea Zitto angekiri kuwa serikali ya CCM imempa barabara bila ya kuonesha ubaguzi wa kiitikadi za kisiasa pamoja na kwamba Zitto ni wa chama kingine siasa.
Source: Mwananchi Read News
Pinda naye kazungumza OVYO OVYO Bungeni kama yule naibu waziri wa Fedha.Hivi Pinda anamaanisha nini hasa? kwa kusema fedha ni za serikali? na eti serikali ni ya CCM. Hivi yamekuwa hayo jamani, yaani fedha si za mtanzania mlipa kodi wa nchi hii. Na je, serikali pia si ya wananchi? eti ya CCM? CCM wamepewa dhamani tu ya kuisimamia. Kwa maoni yangu Pinda anamatatizo hasa ya ku-reflect anachokisema.
"Mheshmiwa Spika labda niseme hivi serikali ni ya chama chetu, fedha ni za serikali ya CCM na barabara zinajengwa na CCM, labda mheshmiwa Zitto pamoja na Chadema yake wangeniambia tu, Waziri serikali yako imejitahidi sana"aliongeza Waziri Mkuu.
Source: Mwananchi Read News
this is embrassing kwa PM kuingia kwenye siasa za punch and Judy
kwani kuna ubaya gani angeyamaza?
this is so low, yeye angesema wanatekeleza ilani ya chama ya 2005 kungekuwa na ubaya gani?
Hivi Zitto akiamua kujibizana naye atamweza?
Ndio maana maswala ya Ufisadi hayawezi kupatiwa dawa kwani CCM wanafikiria kwamba zile fedha zinzoibiwa ni zao wenyewe hivyo ka a ni uchungu inatakiwa CCM ndio iwe na uchungu zaidi..
Ama kweli viongozi tunayo yaani sikutegemea kabisa!
Mizengo Pinda said:Mheshmiwa Spika labda niseme hivi serikali ni ya chama chetu, fedha ni za serikali ya CCM na barabara zinajengwa na CCM, labda mheshmiwa Zitto pamoja na Chadema yake wangeniambia tu, Waziri serikali yako imejitahidi sana.
Naam Ndio maana hata mimi nasema kuwa kama wanataka kusifiwa kwa hayo mazuri hata ufisadi nao ni wao, Mbona wanakataa sasa,Sawa.. na ufisadi nao wa CCM kwanini hamtaki credit kwenye hilo?