Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni Kweli kabisa ila lazima naye kama Binadamu akosolewa maana kama siyo Miungu watu hivyo ni Haki yetu sisi Kusema na Kuwasemea, Lazima angepaswa kuadress vizuri au kujibu vizuri, na tena Kwasababu hii inaongoza sana kufanya na kufanya hata Wakuu wa Wilaya na Makada huko Wilayani kuwa Miungu watu, Ina Impact kuwa sana katika hili
Cha msingi hapa ni Kwamba CCM waache Kujigamba na kufanya wao ndio mwisho na Mwanzo, Kama Maendeleo kote inabidi yapelekwe na sio majimboni ya CCM, Bila ya Upinzani wa Kweli tunazaa Serikali Legelege na pia ni Hasara kwa Taifa letu na Vizazi vyetu wote.Aleluya!
Hakika Josh hapo tunaenda sambamba, Hii nchi ni yetu na siyo ya CCM, na mambo haya ya utata ndio yanasababisha wapinzani kuwachachafya CCM na kuweka maneno makali. Hivyo ujue Ukweli unauma pia!
Mungu wetu aendelee kuwapa hekima na busara ya kulitetea nma kulinusuru taifa letu.
Mbarikiwe na Bwana!
Mizengo Pinda said:"Mheshmiwa Spika labda niseme hivi serikali ni ya chama chetu, fedha ni za serikali ya CCM na barabara zinajengwa na CCM, labda mheshmiwa Zitto pamoja na Chadema yake wangeniambia tu, Waziri serikali yako imejitahidi sana".
Umesema ukweli kabisa maana kama mtu hana chama atakwenda wapi?? ndio maana tunasema kuwa Katiba ya Tanzania inalazimisha watu wajiunge kwenye vyama hata kama hawataki kabisa, PM asingesema maneno kama ya watu wengine tuliwazoea kwenye Siasa miaka nenda rudi, Je Kura zote walipigiwa na Wana CCM tu??? Mbona anasema kama vile Hajui nini cha kufanya na mgawanyiko wa Madaraka ya Katika TanzaniaHaya ndiyo matatizo ya kuwa na wasanii kwenye serikali badala ya viongozi. Yaani Pinda naye anaongea kama wale madiwani wao waliokimbia umande na kuishia darasa la pili (Wanaoandika barua kwa kuchanganya herufi kubwa na ndogo) na baadae kujiingiza kwenye siasa kwa kuwa na uwezo wa vijembe majukwaani tu.
Unaposema hela za CCM, kwa kuwa serikali ni ya CCM, unakuwa umebagua wale wasio na chama au walio vyama ambavyo si CCM, ambao kila siku wanalipa VAT, PAYE na kodi kibao. Je hawa wakienda kushitaki kuwa hawataki kulipa michango ya CCM kwa njia ya kodi kwa sababu wao si waumini wa chama hicho Pinda atapata la kujibu?.
PINDA EEE!, Pesa ni za watanzania ambazo serikali ni custodian tu, Pinda au ndiyo kutetea nafasi kwenye uteuzi ujao? Maana haya sasa yamekuwa low kuliko ya "NDEGE YA UCHUMI"
Au ni makosa ya Uandishi wetu na yupo kwa ajili ya Kiasiasa zaidi, maana hata sisi hatuamini kama kweli yeye NDIYE MKULIMA wetu na anajua kweli utawala wa Kisheria na Vyama vingi.. au ndio mtindo wa Kampeni tuDuh! Pinda kachemsha big time!..
Inaonyesha hafahamu jinsi Utawala wa vyama vingi unavyofanya kazi ktk ujenzi wa nchi..Yaani nemesoma na nimeshindwa kabisa kumwelewa, kaazi kweli kweli!
fedha ni za serikali ya CCM
Au ni makosa ya Uandishi wetu na yupo kwa ajili ya Kiasiasa zaidi, maana hata sisi hatuamini kama kweli yeye NDIYE MKULIMA wetu na anajua kweli utawala wa Kisheria na Vyama vingi.. au ndio mtindo wa Kampeni tu
Hivi hawa watu concept ya stewardship wanaielewa? Wanaelewa kwamba wao ni custodians tu? No wonder wanafuja mali kwa sababu wanaamini ni zao!
Pinda inabidi arudi kusoma ile hotuba excellent ya Nyerere alivyokataa tabia ya kuita "dereva wangu" au "kampuni yangu" kwa vitu vya umma, this shows Pinda to be what I have always said despite the leeway he is afforded, a security apparatus nincompoop way out of his league trying to sound statesmanlike, coming out all wrong.
Huwezi kujua bwana, labda na yeye homa ya uchaguzi imeshaanza kupandathis is embrassing kwa PM kuingia kwenye siasa za punch and Judy
kwani kuna ubaya gani angeyamaza?
this is so low, yeye angesema wanatekeleza ilani ya chama ya 2005 kungekuwa na ubaya gani?
Hivi Zitto akiamua kujibizana naye atamweza?