Pinda Chuo kikuu Kampala ni tatizo

Pinda Chuo kikuu Kampala ni tatizo

mnyawudesi

Member
Joined
Jun 21, 2015
Posts
11
Reaction score
2
Haya yamejili Leo alipokuwa akiongea na wajumbe waliofika Dodoma Leo. Amehudhunishwa na hali ya Chuo hicho kuwa chini ya kiwango, ameonyesha kutolizika kabisa na kiwango cha elimu kitilewacho na Chuo hiki. Amesema wapo kwakutafuta fedha. Na wanaendesha kijanja. Kamati ya wanafunzi wahanga wamefika Dodoma kuonana na kamati ya bunge kesho
 
Hicho Chuo inatakiwa kifungwe na wanafunzi wafaulishwe kweye vyo vingine, hakina hadhi kabisa ya kuitwa Chuo kinachotoa elimu ya juu!
 
Mimi nilitegemea atasema kuwa " MIMI (PM) NDIO TATIZO LENYEWE , NA HAKUNA NAMNA NYINGINE ZAIDI YA KUCHAGUA SERIKALI YA UKAWA" wasomi na vijana wa Kampala university msifanye masihara kuchagua serikali ya MAGAMBA tena , mkicheza mtaumia zaidi ya hapa.
 
Waziri Mkuu akisema hivyo ni ajabu - kwani waliokidahiri na kukiruhusu kuendesha shughuli zake wako chini ya serikali yake. Achukue hatua za kusahihisha mambo!
 
Huyu naye haishi kulia lia aaah?!! Aaah wale wale, yale yale ……Mki wakamata mafisadi nchi itayumba? Kweli, utashitaki/ utakmata vipi serikali wakati wewe unaye shitaki / kamata ni sehemu ya serikali hiyo? Na wewe unahusika?
Wengine:

  1. Wauza madawa ya kulevya tunawafahamu,
  2. Wezi na wauaji wa tembo tunawafahamu,
  3. Wezi wa EPA tunawafahamu
  4. Mwingine juzi kati kasema vijana wa kinondoni wasikubalikutumiwa na wafanya biashara wa madawa ya kulevya kwani kiongozi hao anawafahamu,
  5. Majambazi sugu tunayajua yanako kaa, yakamatenibasi!
 
Back
Top Bottom