Dingswayo
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 4,019
- 2,925
Yeah, why do you have to people you do not approve of? Come next elections, chagueni watu wengine.sisi wenyewe ndo tunajiharibia kwa nini tunawapigia kura hawa mabaradhuli CCM?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah, why do you have to people you do not approve of? Come next elections, chagueni watu wengine.sisi wenyewe ndo tunajiharibia kwa nini tunawapigia kura hawa mabaradhuli CCM?
Pinda Jiuzulu kazi imekushinda.
miye nilishakata tamaa naye; madaraka ni kitu kibaya sana hasa yakiwa mikononi mwa watu kama yeye..
Bunge kumbe ni mahali pa uzushi na umbeya basi inabidi bunge livunjwe kwa maana hela za walipa kodi zinapotea bure kwa ajili ya mambo ya uzushi na umbeya,sasa Pinda naye kumbe ni mbeya na mzushi kwani naye si mbunge jamani
Hivi ni lini mtakaa chini na kukubali kuwa serikali hii yote imeoza pamoja na CCM yao?
Nakubaliana na wewe mkuu asilimia mia, sioni mtendaji aliye bora na mwadilifu katika serikali hii - kwa ufupi tu CCM na serikali yake imeoza.
Tatizo la watanzania wagumu wa kuelewa na wepesi wa kusahau.
- mkaambiwa maisha bora kwa kila mdanganyika
- juzi mkaambiwa kilimo kwanza
- juzi bungeni wakakaa kama makada wa CCM wakalimaliza la richard monduli
- sasa wameanza kusafishana majimboni kuelekea uchaguzi mkuu - mweee!! nitatapika nimekunywa chai sasa hivi.
yote haya ndugu zangu hamuungani ya waberoya kwamba CCM na Serikali yao wote chungu kimoja? - wameoza?
Mpaka kufikia hapo muheshimiwa ametuaibisha.
Mheshimiwa Pinda ni kiongozi mzuri any way.
Huo ni mtazamo wangu.
anasema kilichoko moyoni mwake kwamba bungeni pale ni blahblah tu!