Pre GE2025 Pinda: Kuunda timu ya wataalamu kuwabaini wamiliki wa mashamba na kutatua migogoro ya ardhi wilayani Kiteto

Pre GE2025 Pinda: Kuunda timu ya wataalamu kuwabaini wamiliki wa mashamba na kutatua migogoro ya ardhi wilayani Kiteto

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Geophrey Pinda amesema ataunda timu ya wataalamu kufanya utafiti kuwabaini wamiliki wa mashamba ikiwa ni jitihada za kutatua migogoro ya ardhi wilayani Kiteto pamoja na mgogoro wa mpaka kati ya wilaya hiyo na Wilaya ya Chemba.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Naibu Waziri Pinda ameyasema hayo Februari 15, 2024 wakati akizungumza na umati wa wananchi wa wilaya hizo mbili katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika Kijiji cha Ndareta na kuhudhuriwa na Kamati ya Usalama ya Wilaya ya Kiteto ikiongozwa na Mkuu wa Wilaya, Remidius Mwema.
 
Back
Top Bottom