wazanzibari pumbavu kabisa ndiyo maana hamjaenda shule..na wanaotaka sana kuvunjika kwa muungano ni viongozi wenye uchu..
lkn mi pia ntashukuru tu uvunjike ili waarabu waingie rasmi zenji..na tuone kitakachoendelea
Hapa kuna tatizo la lugha ya kiswahili na utamaduni wan kutumia lugha hiyo. Wazanzibari wanapotoa macho wakisema -hatutaki basi ala- upumbavu huu!!. Siyo kama hawataki kweli, lakini wanataka wasikilizwe, ni namna gani wanavyotaka wao huo Muungano uwe ili uweze kukidhi haja na matarajio yao kwa jinsi ambavyo wanaona wanaweza kufaidika na Muungano huo kama vile wenzaio wa Tanganyika wanavyofaidika. Wa-Tanganyika inaoneklana wanashindwa kuelewa lugha ya Wazanzibari na utamaduni,uzoefu na mbinu zao za kujieleza. Nafikiri wawasome wenzao katika hilo kwanza.Msemo wa "umoja ni nguvu utengano ni udhaifu" ni msemo wa Kiswahili na Wazanzibari hilo wanalijuwa. Wazanzibari ukiachia wachache wenye jazba wanaupenda Muungano hivyo jawabu Muungano uwepo.
Wapi Bwana huo ni mtizamo wako lakini wakubwa wako hawana mtizamo huo. Angalia yaondolewe mafuta tu kipovu kinawatoka hawana haya wala soni wakizani Muungano ni Mafuta tu leo Wazanzibari waseme wanajitowa si mauwaji na mafunzo ya kuuwa . Angalia wakati wa uchaguzi tu leo useme kujitangazia kujitowa Muungano. Muungwana ni vitendo kama mmechoka kuambiwa ukweli tangazeni nyie ili Wazanzibari wasage meno kama mnavyodhania.
1. Hata England ingependa UK siku moja iwe moja! Je Skotilandi, Wales watakubali??
2. Sema Visiwani ni ndogo sana kwa watu, uchumi na eneo: wana faida zaidi kuwa na 'good father' Bara kuliko kuwa wenyewe!
Daima ndivyo ninavyoamini siku zote, vingenevyo kila mtu apewe kipande chake aishie! Ni ukweli usiopingika kuwa kwa vyovyote kwa muundo huu ni lazima upande mmoja uwe unalemea upande wa pili. Na katika hili Tanganyika ambayo haipo inaumia zaidi kwa sababu kwetu ni kwao ila kwao ni kwao!

Get your facts right:
1.England washawchoka Scotland na vice versa...na Scotland possibly in the next 5 to 10 years wanaweza kuaondoka kwenye Muungano na England..Alex Salmond na SNP ndiko wanakoelekea afterall The party's main policy is full independence from the United Kingdom.
2.That is based on what? It certainly isnt based on economic analysis. As economic integration continues, economics views political disintegration as increasingly more beneficial for Zanzibar..na hizi comments za kutaka kuwa godfather to this and that ndizo zitakazo waponza nyie waTanganyika
alway arrogant as if mna birth right to Unguja na Pemba
3.Pinda anaongea kama vile anafikiri bado yuko Usalama wa taifa ya 1970's
Tatizoni hizocolonialmindset walizonazowaTanganyika...mentality na sentiments zao hazina tofauti sana na wakina Edward Twinning
Kwa nini suluhisho lisiwe kuwa na serikali tatu na kwa nini iwe ni serikali moja ndo suluhisho peke yake?
kwasababu hakuna mtanganyika anyelilia kuwa na serikali ya Tanganyika zaidi ya Mchungaji C. Mtikila. Kwa Ujumla wetu hatuna shida ya serikali ya Tanganyika na tungependa kuwa na Tanzania Moja yenye Rais mmoja, wimbo wa Taifa mmoja, na Zanzibar ni Mkoa na Mh. A. Karume ni mkuu wa mkoa wa Zanzibar. Hii ndio Ndoto yangu Pia,
1. Hata England ingependa UK siku moja iwe moja! Je Skotilandi, Wales watakubali??
2. Sema Visiwani ni ndogo sana kwa watu, uchumi na eneo: wana faida zaidi kuwa na 'good father' Bara kuliko kuwa wenyewe!
kwasababu hakuna mtanganyika anyelilia kuwa na serikali ya Tanganyika zaidi ya Mchungaji C. Mtikila. Kwa Ujumla wetu hatuna shida ya serikali ya Tanganyika na tungependa kuwa na Tanzania Moja yenye Rais mmoja, wimbo wa Taifa mmoja, na Zanzibar ni Mkoa na Mh. A. Karume ni mkuu wa mkoa wa Zanzibar. Hii ndio Ndoto yangu Pia,
kwasababu hakuna mtanganyika anyelilia kuwa na serikali ya Tanganyika zaidi ya Mchungaji C. Mtikila. Kwa Ujumla wetu hatuna shida ya serikali ya Tanganyika na tungependa kuwa na Tanzania Moja yenye Rais mmoja, wimbo wa Taifa mmoja, na Zanzibar ni Mkoa na Mh. A. Karume ni mkuu wa mkoa wa Zanzibar. Hii ndio Ndoto yangu Pia,
Get your facts right:
.......na hizi comments za kutaka kuwa godfather to this and that ndizo zitakazo waponza nyie waTanganyika
alway arrogant as if mna birth right to Unguja na Pemba
3.Pinda anaongea kama vile anafikiri bado yuko Usalama wa taifa ya 1970's