Pinda, Muungano, na Hatima ya Zanzibar

Tugawane mbao tu hakuna longolongo nyingi halafu tuone ni nani atakaeumia ?
Pinda nilivyomuelewa anawambia waTanganyika kuwa jamani tusione aibu nasi tuidai Tanganyika yetu ,kuna kitu amegusia kwa ndani zaidi inaka akili ya kumfahamu na sio kumvamia.

Sasa waTanganyika kazi kwenu Pinda ndio ameshasema kuwa watu wagawane mbao tuone nani atakaejuta ,Suali ni Je WaTanganyika au WaZanzibari watakaojuta na kama haitoshi watakaoona wametua mzigo .Kwani WaTanganyika wanasema Zanzibar ni mzigo na WaZanzibari nao wanasema vilevile kuwa Muungano ni mzigo na haubebeki tena ,wamaji.
 
Tamko hilo limetolewa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi juzi wakati akifunga kikao cha Baraza la wawakilishi..
"Hatuna lengo la kuvunja Muungano Mheshimiwa Pinda ,isipokuwa afahamu pale watu wanapogombana ndipo wanapojua tatizo la kuimarisha maelewano," alisema Dk. Mwinyihaji.


Hata hivyo, alisema kuhusu suala la mafuta na gesi asilia serikali ya Zanzibar imeshaweka msimamo kuwa suala hilo liondolewe katika orodha ya mambo ya Muungano.
"Suala hili tumeshaliwekea msimamo wake na hatutarudi nyuma,hivyo kama akina Pinda na wenzake wanalirandia na kulinyemelea wasahau" alisema Waziri.
Ndio maana yake, mpo ?
 
So what's new over here? Z'bar can keep the oil if it wants wala sioni kwa nini iwe ishu, Baada ya mafuta wata tafuta kingine cha kulalamika.
 
So what's new over here? Z'bar can keep the oil if it wants wala sioni kwa nini iwe ishu, Baada ya mafuta wata tafuta kingine cha kulalamika.
Tungetegemea maneno hayo angeyasema Pinda ,sijui kwanini watu wengine mnajiweka nje ya siasa ,yaani kama tungepata Waziri mwenye mawazo kama yako tu ,basi tungekuwa tushafika mbali sana na kila mtu na hamsini zake hakuna kunyatiana.
 
..Pinda kishawaambia mjaribu kuvunja muungano.

..sasa hizi barua za nini?
 
Tungetegemea maneno hayo angeyasema Pinda ,sijui kwanini watu wengine mnajiweka nje ya siasa ,yaani kama tungepata Waziri mwenye mawazo kama yako tu ,basi tungekuwa tushafika mbali sana na kila mtu na hamsini zake hakuna kunyatiana.

Personally sioni tatizo ya Z'bar kushikilia mafuta yake. After all Muungano ulilist kabisa mambo ya Muungano na mambo ya Z'bar peke yake. Kama mafuta hayapo kwenye mambo ya Muungano then by all means they can keep it. It will just mean that the Union government doesn't have to pitch in on any expenses to drill the oil, maintain equipment, find investors etc. Na pia sijui hayo mafuta ni kiasi gani mpaka tuna gombana. And the world now is moving away from oil ndiyo maana nchi za Kiarabu zenye akili kama United Arab Emirates wameanza kuwekeza kwenye sector zingine na si kutegemea mafuta. It's just a fact kwamba in due time mafuta hayata kuwa ishu tena especially kwa nchi ambazo hazita weza kumass produce. Kiongozi yoyote mwenye vision ata ona hili.
 
Mwiba una matatizo makubwa sana kaka .Yaani wewe Udini na Uzanzibari unakuumiza sana mkubwa .Yaani mimi Lunyungu niogope kuachana na Jangwa ? Kuna nini hapo kisiwani ? Beach ama nini? Beach zaweza kuwafanya muishi na uvivu wenu huo .Niko nyuma ya Pinda namuunga , jaribuni muone .

Huyu nano sijui mwenyeji sijui mwenyehija mwenyewe anajua moto wake anaongelea mafuta na hana nia ya kuuvunja muungano lakini ngoja kuna siku tuaamka na kumtangaza Mkuu wa Mkoa wa huko tuna maliza kazi .
 
..Pinda kishawaambia mjaribu kuvunja muungano.

..sasa hizi barua za nini?

Naona viongozi wa Z'bar kuvunja Muungano au kuinitiate hiyo process wenyewe hawataki. Wana taka Serikali ya Muungano ndiyo ifanye hivyo ili wao wasionekane kufanya kosa. They are playing it safe. Ndiyo maana maneno kama ya Pinda yana waweka sehemu mbaya because it forces them to find a response. Na response zao kwa kawaida wata ponda ila mwishoni watasema lakini bado tuna utaka Muungano.
 
Z'bar wavunje muungano tu. Muungano wa Soviet umevunjika kwa sababu hakuna maendeleo yoyote yaliyotokea wakati wa Muungano. Z'bar wakivunja muungano wataendelea zaidi kuliko sasa hivi. Kazi kwao Wanazanzibar kudai independence yao.
 
Z'bar wavunje muungano tu. Muungano wa Soviet umevunjika kwa sababu hakuna maendeleo yoyote yaliyotokea wakati wa Muungano. Z'bar wakivunja muungano wataendelea zaidi kuliko sasa hivi. Kazi kwao Wanazanzibar kudai independence yao.

Na hizo nchi zilizo ondoka kwenye Soviet Union leo hii zimeendelea kuliko zilipo kuwa ndani ya muungano? Just a question.
 
..wanaogopa nini kuuvunja Muungano?

Sidhani kama kuna swala la kuogopana hapa, hili la mafuta litafikia Muungano kuvunjika au litaishia katika kutawalana kimabavu.

Mimi sioni maana yeyote ya kuwepo huu Muungano, jee unamsaidia nini mTanzania?

Kwa nini Zanzibar isiwe nchi kivyake na Tanganyika isiwe kivyake? Mimi nnachoelewa kuwa Muungano huu ulikuwa ni matakwa na mafanikio ya kanisa katika kundeleza kurusedi (crusade, na Nyerere ndie kinara wa kufanikisha hilo na ndio maana moja ya mambo yanayomfanya aombewe utakatifu), kwa hilo kanisa limefanikisha azima yake lakini kwa watu wasio na mtazamo huo, Muungano unasaidia nini?
 

Sasa kanisa hapa lina husika vipi? Toa ushahidi basi hata circumstantial.
 
Sasa kanisa hapa lina husika vipi? Toa ushahidi basi hata circumstantial.


[FONT=Times,Times New Roman]"Without any question, the manner and the implications of the union between Tanganyika and Zanzibar is the most misunderstood aspect of Tanzania's political development. It may not matter very much when foreigners get confused, but unfortunately there are many times when Tanzanians themselves appear to misunderstand it."[/FONT] [FONT=Times,Times New Roman] [/FONT] [FONT=Times,Times New Roman]Former Tanzanian President Julius Nyerere.[/FONT] [FONT=Times,Times New Roman]Dar es Salaam Government Printer, July 1970. p. 3.[/FONT] [FONT=Times,Times New Roman] [/FONT] [FONT=Times,Times New Roman] [/FONT]
[FONT=Times,Times New Roman][SIZE=+1]INTRODUCTION[/SIZE][/FONT] When the former Tanzanian President Julius Kambarage Nyerere made the above address to his National Assembly that "the union between Zanzibar and Tanganyika is the most misunderstood aspects of Tanzanian's political development" proved that he is the only Tanzanian who knows "the manner and the implications of the union" after British colonialism in East Africa.
During the British colonialism, Zanzibar was the only intellectual center for Islamization of East African countries under the Zanzibar Sultanate. The Gofu and the Barza Mosques allowed students from the East African countries for the Islamic education. The Zanzibar Muslim Academy also offered the greatest hope for the vibrancy of Islam in East Africa. Nyerere, a devout Catholic saw that the Islamic Zanzibar state, a threat to Christianity. He masterminded a clandestine movement for the so called Zanzibar Revolution under the leadership of John Okello, a radical Christian from Uganda. It was not only a prelude to the creation of Tanzania, but a continuation of crusade against Islam and extension of Christian colonialism.



Source: http://victorian.fortunecity.com/portfolio/543/nyerere_and_islam.htm
 
Na hizo nchi zilizo ondoka kwenye Soviet Union leo hii zimeendelea kuliko zilipo kuwa ndani ya muungano? Just a question.

Ndiyo zinaanza kuona maendeleo kuliko zilipokuwa ktk Soviet. Nchi nyingi za former Soviet zipo kwenye transitional economic which is good for them.
 

how did it the writer come to such a conclusion that Nyerere's statement above "proved" that he was the ONLY Tanzanian who knows?


Unquestionably true.

Nyerere, a devout Catholic saw that the Islamic Zanzibar state, a threat to Christianity.

Where did they get this insight about how Nyerere "saw" that the Islamic Zanzibar a threat to Christianity?

He masterminded a clandestine movement for the so called Zanzibar Revolution under the leadership of John Okello, a radical Christian from Uganda.

Wrong history! Yaani Nyerere ndiye aliyeyabuni mapinduzi ya Zanzibar?

It was not only a prelude to the creation of Tanzania, but a continuation of crusade against Islam and extension of Christian colonialism.

Ridiculous assertion void of evidence to support it.
 
Mimi siioni faida hata moja kwa mTanzania katika huu Muungano ulio na malalamiko yasiyokwisha. Miaka zaidi ya 40 leo lakini kuna vikao visivyokwisha kuzungumzia matatizo ya huu Muungano.

Jee, wa Tanzania na wale ambao si wa Tanzania mnaweza kunielimisha kuhusu faida za huu Muungano?
 
Ndiyo zinaanza kuona maendeleo kuliko zilipokuwa ktk Soviet. Nchi nyingi za former Soviet zipo kwenye transitional economic which is good for them.

Mkuu not true. Si ndiyo tunaona yanayo tokea kwenye nchi kama Georgia? Hakuna nchi yoyote iliyo kuwa kwenye Soviet Union na ika badilika baada ya kujitenga. Tena zingine baada ya kujitenga na Urusi nazo zina kua na majimbo yanayo taka kujitenga. Kama una bisha toa mifano hai twende on a country to country basis halafu utaona.
 

CRUSADE AFTER INDEPENDENCE It was not until recently when the study of Islam in East Africa has attracted much attention of contemporary scholars. But most of them neglect the Crusades against Islam in East Africa, and Zanzibar in particular. It is neglected because such a religious conflict seems to belong to the Middle East, despite the Crusade against Islam is ecumenical imperative in any Muslim country, including Zanzibar. In case of the Catholic Crusade in Zanzibar, Nyerere worked hand in glove with Oscar Kambona, his close confidante and schoolmate at the Edinburgh University, where in 1910, the Second World Conference of Churches (WCC) discussed the threat to Islam in East Africa. It was unanimously agreed that an African Christian is better (for leadership) than an African Muslim. Every sort of assistance was therefore given to Nyerere in order to combat Islam in East Africa after the demise of the British Colonialism.
When Tanganyika gained its independence in 1961, Jomo Kenyatta of Kenya, Milton Obote of Uganda and Julius Nyerere of Tanganyika had a Summit Meeting at Nairobi on June 5, 1963. In this conspiracy of the Christian leaders, Zanzibar was neither represented nor mentioned in this Summit. These leaders unanimously pledged their selfish regional Declaration under the spirit of Pan-Africanism:

We (Nyerere, Obote and Kenyatta), the leaders of the people and Governments of East Africa (i.e. Tanganyika, Uganda and Kenya)...pledge ourselves to the political federation of East Africa and we are prompted by the spirit of Pan-Africanism, and not by mere selfish regional interests. (p. 1). When Zanzibar gained independence on December 10, 1963 from the British government, it became a member of the Commonwealth nations. It joined the United Nations on December 16, 1963 and was represented by Hilal bin Muhammed bin Hilal. But when the new Zanzibar Government declared to form the model of the Islamic State, it was orchestrated by Afro-Christian Crusaders as reincarnation of Arabisation and revivalism of Islamization. They invaded Zanzibar in the midnight of January 11, 1964 under the self-appointed "Field Mashal" John Okello, a militant Christian from Uganda. The objective of the Zanzibar revolution was a Crusade against Islam as Okello stated in his book entitled Revolution in Zanzibar that God appointed him to make revolution for the sake of Christianity. He then quoted the following Biblical passage for his justifications:

  • Go now, you rich men, weep and howl for your miseries that shall come upon you! Your riches are corrupted, and your garments are moth-eaten. Your gold and silver is cankered, and rust of them shall be a witness against you, and shall eat your flesh as if were fire. You have reaped down your fields in cries of them which have reaped are entered into ears of the Lord of Sabbath. You have lived in pleasure on the earth and been wanton. You have nourished your hearts as in a day of slaughter. You have not, you kill and desire to have and cant obtain fight and war, yet you have not asked, and receive not, because you ask amiss, that you consume it upon your lusts (James 5:1-6).
Okello also said that his "Freedom Fighters" came from Tanganyika, Kenya, Uganda, Rhodesia (Zimbabwe), Nyasaland (Malawi) and Mozambique. They killed 13,635 Muslims and 21,462 were detained. He failed to tell us that his Zaznibar Revolution under the auspices of Nyerere, reminiscent of the Spanish Inquisition which led to the last stronghold of the Muslim State in Spain. On January 11, 1964 Okello commanded the Crusaders that all Arabs (Muslims) between the age of 18 and 55 must be killed. In the next day, the Muslim holocaust began when Okello said in the Radio Zanzibar the following:

  • I am Fidel Marshal! Okello! You imperialists, there is no longer an imperialist government on this Island. This is now the government of the Freedom Fighters. Wake up you black men. Let everyone of you take a gun and ammunition and start to fight against any remnants of imperialism in this islands. (p. 143).
In the same morning, Okello issued an ultimatum to Jamshid bin Abdullah bin Khalifah bin Haroub (1963-1964), the Zanzibar Sultan: "You are allowed twenty minutes to kill your children and wives and then kill yourself." (p. 145) but he escaped through Mombasa, Kenya. The mainland Africans' support to overthrow the Zanzibar Government was due to the fact that the Crusaders had a large number of modern arms from Kenya and or Tanganyika from where 600 Crusaders invaded Zanzibar Keith Kyle, a British correspondent for East Africa in his articles in the Spectator of entitled "Gideon's (Okello) Voices" (February 7, 1964) and "How it Happened" (February 14, 1964) said that "certain (Christian) members of the Tanganyika Government were involved in Revolution" (Crusade) of Zanzibar. It is known that the holocaust was so horrendous that 100 Muslims were baked to death in tanuri (the copra-kiln) at Bambi. Following the Muslims holocaust, Abeid Karume (1905-1972), born in Nyasaland (now Malawi) became the President of the People's Republic of Zanzibar. Karume secretly collaborated with the former Tanganyikan President Nyerere, an Islamophobic for the merger of Zanzibar and Tanganyika. Similar situation took place in Mindanao, an Islamic State founded by Sultan Sayyid bin Abu Bakr al-Hadhramy over 400 years before the ascendancy of the Roman Catholic Church in the Philippines and Tanganyika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…