Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Kuna taarifa za ukweli kuwa kutokana na kuwa na wasiwasi Wa kupitishwa katiba ambayo haiwatambui wabunge Wa viti maalum,pindi chana ameanza kumuundia zengwe Mh Filikunjombe kwa madai kuwa anawanyanyasa watumishi Wa idara za serikali,amejitahidi kuchafua hali ya hewa hapa ludewa,hii inaonyesha hasivyokuwa Mtu Wa kuaminika,hafai hatumtaki kabisa hapa jimboni kwetu.