Pindi chana hakubaliki kwao

Pindi chana hakubaliki kwao

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
122,494
Reaction score
96,074
Kuna taarifa za ukweli kuwa kutokana na kuwa na wasiwasi Wa kupitishwa katiba ambayo haiwatambui wabunge Wa viti maalum,pindi chana ameanza kumuundia zengwe Mh Filikunjombe kwa madai kuwa anawanyanyasa watumishi Wa idara za serikali,amejitahidi kuchafua hali ya hewa hapa ludewa,hii inaonyesha hasivyokuwa Mtu Wa kuaminika,hafai hatumtaki kabisa hapa jimboni kwetu.
 
watu. wote waliozoea kubebwa hudhania kazi za Jamii hufanywa majukwaani kwa maneno mengi ya kujikosha na majungu badala ya kuunganisha nguvu na wenzao kuhudumia jamii,yeye anadhani cheo ni muhimu wenziye wanajua utumishi ni MUHIMU,MSAMEHENI HAJUI ALITENDALO CHEO MNYIMENI
 
Ameanza kumuandam Deo muda mrefu,aidhani atapewa Ubunge Ludewa lakni hawezi kufanikiwa
 
Kuna taarifa za ukweli kuwa kutokana na kuwa na wasiwasi Wa kupitishwa katiba ambayo haiwatambui wabunge Wa viti maalum,pindi chana ameanza kumuundia zengwe Mh Filikunjombe kwa madai kuwa anawanyanyasa watumishi Wa idara za serikali,amejitahidi kuchafua hali ya hewa hapa ludewa,hii inaonyesha hasivyokuwa Mtu Wa kuaminika,hafai hatumtaki kabisa hapa jimboni kwetu.


Hii thread yako imekaa kimajungu....sana...ingekuwa poa ungefunguka, unataka kusema nini kwa huyu mama, ni kuhusu katiba, viti maalum au Mh Fulikunjombe? au wafanyakazi wa serikali.......

Mbunge ana nafasi gani katika kunyanyasa watumishi wa serikali wakati si mwajir wao?? mbunge ni mwajiriwa tena na wananchi wakiwemo wafanyakazi a ambao ndio wapiga kura wake.......!!!

sasa inakuaje awanyanyase....!! njoo kwa kina kwa taarifa zenye kumgusa mtu hasa utendaji wake sio just kukurupuka...binafsi huwa napata tabu taarifa za juu juu kutupia humu JF...ET kuna wasiwasi au tetesi....as great thinker tuje na thread mtu akisoma tuu.....atafikiri kuchangia kwa kuleta mantiki yenye kuendeleza taifa zetu....!!!

KUNA WATU HUMU WANFIKIRI WAKISHATOLEA MTU THREAD YA KASHFA JF ndio wamemmaliza....si kweli.....ni mtazamo wangu tu...
 
Nilichokuwa na maanisha ni udhaifu Wa huyu mama kufuatia taarifa yake juzi bungeni alipowashambulia wabunge Wa upinzani kuwa wanasusia vikao ndio maana hawakusikia juu ya ushirikishwaji Wa wananchi Wa znz,,akasema wamevishirikisha vyama vya siasa vya JAHAZI ASILIA.Kumbe hulka yake ni uongo na majungu ili kufanikisha malengo yake,wewe kaulize jinsi alivyo mfitini mh,Filikunjombe juu ya utendaji kazi Wa idara za halmashauri hapa ludewa.fuatilia sakata la upatikanaji Wa maji na sakata la mhandisi Wa maji.
 
pindi chana na deo filikunjombe = na kulinganisha kichuguu na mlima. hivi pindi chana kwao ni ludewa? pindi hazara chana - ni jina la ludewa hili!!!!
 
pindi chana na deo filikunjombe = na kulinganisha kichuguu na mlima. hivi pindi chana kwao ni ludewa? pindi hazara chana - ni jina la ludewa hili!!!!

mbona wanafanana wote ukoo moja ni ukoo gani ule ndg nasari alisema vile?
 
Hivi pindichana ni nani kwa ludewa? Hivi nikweli pindi chana niwakulinganisha na deo ilikunjombe?"
Jamani mbona hapo naona kama munataka kufanya kazi ya kukausha maji ya bahari? Sisi wanaludewa kama 1.wapangwa 2.wakisi na wamanda wapi umeona ukoo wa kina chana?au singasinga ( wahindi).
Najuwa kuwa wengi wanasema majungu apana kama munabisha wapeni mutihani wakuongea ghipangwa deo na pindi hata kwadakika kumi tu.
Ndo mutapata majibuyenu .mimi kama mimi nzlipenda sana jembe la LUDEWA (DOE FILIKUNJOMBE) MBAKA KUFA KWANGU .
Pia nimepata tatifa kuwa amepewa jina lingine na mh kinana kstibu mkuu ccm kuwa ci jembe tena bali katapira la ludewa na ccm yenyewe.
 
Back
Top Bottom