Kwani baby hupendi ngono?Aisee ila wametukosea adabu baby
SisterIt's a planned thing, wanajaribu kuvutia watu wa rika la kati na la chini.
Ni rahisi kuyakumbuka maneno ya tangazo sababu ndio wanayoyatumia kwa kipindi hicho.
Matangazo mengi yenye kuhusisha picha au maneno yenye kufanana na ngono yanapokelewa vizuri na kuuzika haraka.
Brother J!Sister
Sista umenitupa sana Kaka yako, uko wapi siku hiziBrother J!
Pale pale tu, sijasogea bado.Sista umenitupa sana Kaka yako, uko wapi siku hizi
ThanksIt's a planned thing, wanajaribu kuvutia watu wa rika la kati na la chini.
Ni rahisi kuyakumbuka maneno ya tangazo sababu ndio wanayoyatumia kwa kipindi hicho.
Matangazo mengi yenye kuhusisha picha au maneno yenye kufanana na ngono yanapokelewa vizuri na kuuzika haraka.
daaahPale pale tu, sijasogea bado.