Pindua pindua au jaza ujazwe!

Pindua pindua au jaza ujazwe!

DJ SEPETU

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2017
Posts
8,413
Reaction score
12,336
Kampuni za kibiashara huja na maneno yenye kubeba hisia za mapenzi kwanini!!!

Maana super banco walikuja na kukuruka mwanangu bila kuchana godoro !

Coca cola wakaja na msisimko!

Tigo wamekuja na jaza ujazwe

Voda hatujakaa sawa wametupa pindua pindua!

Hebu tafakari matangazo hayo na mengine uyajuayo yana connection na mgegedo du!
Hi ni coincidence au planned!?
 
Mods naomba muifute hii zimejipost mbili hii futeni
 
Labda wamegundua akili za nyinyi/sisi waTZ zimejaa mawazo ya ngono ngono

Kwa hiyo wanajaribu kuwavutia wateja wake kwa maneno kama hayo
 
Aisee ila wametukosea adabu baby
 
It's a planned thing, wanajaribu kuvutia watu wa rika la kati na la chini.
Ni rahisi kuyakumbuka maneno ya tangazo sababu ndio wanayoyatumia kwa kipindi hicho.

Matangazo mengi yenye kuhusisha picha au maneno yenye kufanana na ngono yanapokelewa vizuri na kuuzika haraka.
 
Sister
 
Thanks
 
Wewe ndo unatatizo la kuwaza ngono kila wakati,sasa pinduapindua na mgegedo wapi na wapi?
 
Back
Top Bottom