lugoda12 JF-Expert Member Joined Jul 28, 2018 Posts 276 Reaction score 574 Jun 30, 2024 #1 Maadhimisho ya Kitaifa ya kupinga dawa za kulevya yanaadhimishwa leo tarehe 30/6/2024 katika kiwanja cha Nyamagana Mwanza. Kauli Mbiu ni Wekeza kwenye Kinga na Tiba dhidi ya dawa za kulevya.
Maadhimisho ya Kitaifa ya kupinga dawa za kulevya yanaadhimishwa leo tarehe 30/6/2024 katika kiwanja cha Nyamagana Mwanza. Kauli Mbiu ni Wekeza kwenye Kinga na Tiba dhidi ya dawa za kulevya.
M Maghayo JF-Expert Member Joined Oct 5, 2014 Posts 20,307 Reaction score 47,210 Jun 30, 2024 #2 NAPINGA UTUMIAJI WA MADAWA YA KULEVYA. NAAMURU MARA MOJA WATU WAACHE KUTUMIA MADAWA YA KULEVYA NA WAJIKITE ZAIDI KWENYE UVUTAJI WA BANGI NA SIGARA KUIMARISHA AFYA ZAO ILI WAISHI MAISHA MAREFU NA YENYE AFYA.
NAPINGA UTUMIAJI WA MADAWA YA KULEVYA. NAAMURU MARA MOJA WATU WAACHE KUTUMIA MADAWA YA KULEVYA NA WAJIKITE ZAIDI KWENYE UVUTAJI WA BANGI NA SIGARA KUIMARISHA AFYA ZAO ILI WAISHI MAISHA MAREFU NA YENYE AFYA.