Pinga matumizi ya Madawa ya Kulevya nchini

Pinga matumizi ya Madawa ya Kulevya nchini

lugoda12

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2018
Posts
276
Reaction score
574
Maadhimisho ya Kitaifa ya kupinga dawa za kulevya yanaadhimishwa leo tarehe 30/6/2024 katika kiwanja cha Nyamagana Mwanza.

Kauli Mbiu ni Wekeza kwenye Kinga na Tiba dhidi ya dawa za kulevya.

436E0209-A103-40BA-A42A-4BEBB86738A9.jpeg
196D8C99-7E2A-4CC2-BB2D-C4C857284778.jpeg
 
NAPINGA UTUMIAJI WA MADAWA YA KULEVYA. NAAMURU MARA MOJA WATU WAACHE KUTUMIA MADAWA YA KULEVYA NA WAJIKITE ZAIDI KWENYE UVUTAJI WA BANGI NA SIGARA KUIMARISHA AFYA ZAO ILI WAISHI MAISHA MAREFU NA YENYE AFYA.
 
Back
Top Bottom