Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Maombi ya waumini wa kanisa la Ufufuo na uzima lilichini ya Askofu Gwajima, kama yameanza kujibiwa na Mungu walikuwa wanamlilia tangu kanisa hilo lifungiwe.
===============
Nuru imeanza kuonekana baada ya Leo Septemba 23, 2025 pingamizi lililowekwa na ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali dhidi ya Kanisa la Glory Christ of Tanzania Church maarufu Ufufuo na Uzima kuhusu maombi mahususi ya kuzuia utekelezaji wa amri ya msajili wa jumuiya za kiraia ya kufungia kanisa hilo, pamoja na polisi kuzuia waumini kuendelea kuabudu limetupiliwa mbali na Jaji Juliana Masabo wa Mahakama Kuu Kanda ya Dodoma
Soma Pia:

- Kanisa la Gwajima ladai Polisi wameshikilia mali zao bila makabidhiano
- Jumanne Muliro: Askofu Gwajima akitaka, akate rufaa (rufaa inakatwa kwa Waziri Bashungwa)
- Polisi wazingira Kanisa la Gwajima la ‘Ufufuo na Uzima’ usiku huu. Wananchi wajazana eneo la tukio, wagoma kuondoka!