Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Kwa hiyo ataanza, kuzimenya hoja za " ... ndiyo Mwendo" kama tulivyosikia tetesi?Tishio la maandamano ya Oktoba 29, 2025, limesaidia
Hapo tayari wamekwisha pitisha hadaa, ili wapumbavu waone kwamba mahakama inafanya kazi bila ya maagizo toka kwa Samia.Mahakama za Bongo siyo za kuziamini hata kidogo. Zinaendeshwa kwa maagizo kutoka juu