Elections 2010 Pingamizi la CHADEMA latupwa

Hio ndio CCM , hizo za chadema ni kelele za mlango tu , CHADEMA wanazidi kuporomoka sasa subirini hilo la Showbiz kila mpitapo mwaonyesha mke mpya ,aloo yaani limepangwa bonge la zari na Slaa hatoki yaani anaonyweshwa kama CCM ndie kiranja wa faulo.
 
kombora limedakwa na kumezwa
Hivi wewe una akili kweli watu hapa wanajadili sheria zimekwendaje wewe umekazana kombora limedakwa limemezwa sasa unataka kutuambia litamtokea mata koni, kwenda zako, unamwazo ya kidaku daku tukutane kwenye thread zako za udaku tukuonyeshe kazi.
 
Sasa kilichobakia kwa Dr Slaa kufanya ni ku-fire from all cylinders! Yale mabomu yamebakia mangapi vile? Tena awe ana-squeeze hiyo trigger systematically -- yaani kabla moja halijatulia, atoe jingine -- aya-distribute evenly hadi October 31!

Nasema strategy hii ita-work effectively kwa sababu hilo moja la Jangwani tumeona reaction yake -- how sweet it was! Hapo ndiyo wajue faida ya kuwaibia wananchi!
 
jamani mnataka mjue ili iweje?
maana walalamikaji Chadema nakala ya maamuzu wanayo kama hawajaridhika waende kortini
mnyika anataka kutuambia haruhusiwi kutoa hadhsrani maamuzi kwakuwa katumiwa kwa barua? nijuzeni
Na wewe tukujuze ili iweje
 

Ni kweli mkuu -- akifanya hivyo sijui itakuwaje ndani ya CCM. Msambaratiko hautabiriki, nadhani vyombo vya dola vitamriwa kuwasaidia! Tusubiri!
 
Kwa hiyo ndiyo unafikiri nani ataathirika ukisusa.
Mkuu sijasusa namaanisha chadema maamuzi kutoka kwa msajili wanayo na ccm wanayo, na mnajua kuwa sheria haimlazimishi kama sio kumkataza msajili kutao hadharani kama mnavyotaka, lakini mnatumia mwanya huo kumtaka aeleze hadharani
kwanini asiyamwage hadharani, anaogopa nini
ndio maana nikasema mnijuze kama na yeye sheria inamkataza kutoa maamuzi aliyotumiwa kwa barua
 
Walishasema ushindi kwa CCM 2010 ni lazima. Hivyo LAZIMA washinde. Msitarajie muujiza wa Masihi kushuka na kuja kuwashikisha adabu!
 
acha litupwe Sababu ni kwamba halina maana! eti wameweka pingamizi kisa wa TZ wameogezewa mishahara! :becky: what a joke!
 
mabomu yapi? yaku kataa ubalozi na hela hadi iwepo saini ya yesu, kama kweli anampenda huyo yesu alie dai aione saini yake ,ange msaliti na kuvunja kiaopo cha milele alichoingia naye kuwa padri na bado akaukacha
hata mtoto humuingizi kwa uongo huu
 
acha litupwe Sababu ni kwamba halina maana! eti wameweka pingamizi kisa wa TZ wameogezewa mishahara! :becky: what a joke!
Wewe unakijua hata kinachoendelea tumia bongo kufikiri usitumie makalio.
 
kinacho mshinda mnyika kutoa hadharani hayo maamuzi na kusema ni siri
kama mnaona mtaadhirika kaeni kimya milele

Ni kuwa msajili kawapa majibu na kawambia ni SIRI hawatakiwi kutangaza, ndio maana Mnyika anamwambia msajili atangaze yeye basi kama hajataka Chadema watangaze.

Ivi usajilia anaona nchi yakwake ? kwa nini wahataki tujue sababu za sisi wana nchi kujua ja,bo tulilokuwa tukisubiria?
Je wanajua kuwa hakuna utetezi wa nguvu kwa JK !!!?
 
mabomu yapi? yaku kataa ubalozi na hela hadi iwepo saini ya yesu, kama kweli anampenda huyo yesu alie dai aione saini yake ,ange msaliti na kuvunja kiaopo cha milele alichoingia naye kuwa padri na bado akaukacha
hata mtoto humuingizi kwa uongo huu
Zungumzia topic iliyopo usiende off tutanzisha ligi sasa hivi nyambaf
 
acha litupwe Sababu ni kwamba halina maana! eti wameweka pingamizi kisa wa TZ wameogezewa mishahara! :becky: what a joke!

Hujui kitu kinaitwa 'rule of the law'. Nikupe scenario hii labda utaielewa though i am not sure. Watoto wangu wananililia njaa, naenda kuiba kuku wa jirani ili wasife njaa. Looks like a good thing eh?
 
Hujui kitu kinaitwa 'rule of the law'. Nikupe scenario hii labda utaielewa though i am not sure. Watoto wangu wananililia njaa, naenda kuiba kuku wa jirani ili wasife njaa. Looks like a good thing eh?
Ndiyo maana huyo nimemwambia atumie bongo kufikiri anadhani hela za serikari ni za kuchukua kama anakwenda kununua maparachichi, hajui kuna bajeti pale imechotwa inawezekana kachukua bajeti ya kununulia dawa za kina mama wanaojifungua mhimbili yeye hilo hajui.
 
Asante Tendwa nilikuwa naiwazia hiyo nyongeza mpaka basi, na bajeti nilishaipangia, now am very happy kumbe mwanangu anaweza kusoma english medium mwakani, yalah.... but my kura i reserve to no body.
 
I knew this would happen, wakae chini na wanasheria wao wakate rufaa na kusonga mbele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…