Pingamizi lingine lawasilishwa dhidi ya ushindi wa Uhuru Kenyatta

Kikinuka raila huyo hutamwona, ila kina yakhe ndo wataangamia
 
We unauliza jibu, hujaona picha last sunday za kanisani wakiwa na uhuru? Wale WanaJuana ila
Niliona wanasalimiana, lakini sikuelewa kitu.
Kumbe dili zilikuwa zinapita pale. Duuu, ni shida.
 
hivi rais mteule Uhuru ataapishwa lini?
 
Mtihani huu ndiyo kipimo cha jibu Usahafu wa Katiba.
Msingi wa Nchi ni Katiba ila bahati mbaya Africa Serikali ndiyo imeshikilia huo usahafu wa katiba mazingira hayo manyangau machache hutumia nafasi hiyo kujineemesha kwa jasho la wengi.
 
Dictatorship and democracy in the encounter
 
Mtihani huu ndiyo kipimo cha jibu Usahafu wa Katiba.
Msingi wa Nchi ni Katiba ila bahati mbaya Africa Serikali ndiyo imeshikilia huo usahafu wa katiba mazingira hayo manyangau machache hutumia nafasi hiyo kujineemesha kwa jasho la wengi.
umenena
manyang'au yanajinufaisha
 
tetesi: kuna kila dalili za uchaguzi wa marudio kurudiwa, maana kasoro zilizoainishwa na upande uliopinga matokeo zimethibitika pasi na shaka yoyote.
stay abreast.
 
Ainisha basi hayo mapungufu hapa
 
Hata urudiwe mara kumi poa, hii mtu anaiba kura na anashinda uchaguzi ni uhuni wa hali ya juu. Mtu ashinde bila ujanja ujanja ili aweze kuwa kiongozi.
 
kukwiba lazima ikwibe kura
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…