Tuseme ukweli ,unless wewe ni mzee ume retire...wengi wetu hapa hatuna kazi za maana, walio nazo hautawaona kila siku hapa... Ingekua unashikiliwa na ripoti au project kuanzia ijumaa Hadi juma pili ... ungekua hauna muda na kushindana na utani wa kijinga wa Tz Vs Ke... Tena kila siku... Nakumbuka kuna wakati flani mwaka Jana mwanzo mwanzo nilikua jf, Kenya talk, Quartz, Nairaland, Hadi comments section za Discus..... Tena na engage kila hoja kila mtu...unakuta nimemaliza siku nzima nikiwa Kwa forum... Wakati huo nilikua "in between jobs" ...
Hizi forums zina affect utendakazi wa mtu, ndo maana nilijitoa kwa forum zengine, na sikuhizi na avoid kushindana na watu Kwa mda mrefu.. fight off the addiction!!!!!
Inaezekana pingili-nywee ameangukia project babkubwa akaamua hana mda na watani wake ... Au amepata kadem kapya kanamsumbua sumbua