Pingu za maisha

Pingu za maisha

Junior. Cux

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2011
Posts
5,319
Reaction score
3,786
Nategemea kufunga pingu za maisha na mwanadada mrembo wa humu ndani, kama familia moja ni vema mkaonyesha support yenu hasa katika michango ya harusi hii.. jina la bibi harusi ntalitaja hapo baadae kutokana na sababu za kiusalama na michango yote inaweza nifikia kwa mpesa kwnye namba zilizopo kwnye profile yangu...
Wenu katika mmu,
bwana harusi mtalajiwa
 
nimeshakutumia 15mil na ukihitaji pesa ya hanimuni usisite we nitaarifu..
 
Ai ai ai ai ai,.............
Umesha rudi dar?
 
Mmmh, nilijiunga jf baada ya kukimbia michango uraiani
Na huku ikianza sijui ntaenda wapi mie.
 
Mmmh, nilijiunga jf baada ya kukimbia michango uraiani
Na huku ikianza sijui ntaenda wapi mie.

Hahaha,usifanye hivo bana.
Me namjua jamaa kama anatani nita waambia,....
Trust me,hamta ibiwa.
 
umesha anza uchakachuaji yaani mchango hata hatuwajui majina?
 
Nategemea kufunga pingu za maisha na mwanadada mrembo wa humu ndani, kama familia moja ni vema mkaonyesha support yenu hasa katika michango ya harusi hii.. jina la bibi harusi ntalitaja hapo baadae kutokana na sababu za kiusalama na michango yote inaweza nifikia kwa mpesa kwnye namba zilizopo kwnye profile yangu...
Wenu katika mmu,
bwana harusi mtalajiwa

Kulikuwa na uharaka gani wa kutangaza wkt ukihofia usalama wako?
 
umesha anza uchakachuaji yaani mchango hata hatuwajui majina?

majina gani tena.. mimi ndo kama linavyosomeka bibi harusi atakuja muda si mrefu kujitambulisha mwenyewe...
 
Vikao vya harusi lini, wapi saa ngapi?
 
Back
Top Bottom