Pingu za maisha

Pingu za maisha

Mi nitatuma mchango wangu kwa M-Pesa ila nataka nitume kwnye namba ya bi harusi.
MAPROSOO.
 
Vikao vya harusi lini, wapi saa ngapi?

kuhusu vikao ntawawakilisha mi mwenyewe, mpo wengi sana so hamuwezi kuja wote kwenye vikao ila kwnye harusi ntajitaidi wote muwepo
 
Mi nitatuma mchango wangu kwa M-Pesa ila nataka nitume kwnye namba ya bi harusi.
MAPROSOO.

noh, apo utakua unaharibu thatha.. Bibi harusi anakusanya michango ya send off.!!!
 
Back
Top Bottom