Junior. Cux
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 5,319
- 3,786
nimeshakutumia 15mil na ukihitaji pesa ya hanimuni usisite we nitaarifu..
Khaaaaaaaaaa!Mtaje, isije kuwa mke wa mtu. Shauri yako.
Mtaje, isije kuwa mke wa mtu. Shauri yako.
Mmmh, nilijiunga jf baada ya kukimbia michango uraiani
Na huku ikianza sijui ntaenda wapi mie.
Ai ai ai ai ai,.............
Umesha rudi dar?
Nategemea kufunga pingu za maisha na mwanadada mrembo wa humu ndani, kama familia moja ni vema mkaonyesha support yenu hasa katika michango ya harusi hii.. jina la bibi harusi ntalitaja hapo baadae kutokana na sababu za kiusalama na michango yote inaweza nifikia kwa mpesa kwnye namba zilizopo kwnye profile yangu...
Wenu katika mmu,
bwana harusi mtalajiwa
mpaka j2 bado namalizia sangara kwanza.. usistuke banah, we fanya kunpgia debe sa hizi.!!!
umesha anza uchakachuaji yaani mchango hata hatuwajui majina?
Kulikuwa na uharaka gani wa kutangaza wkt ukihofia usalama wako?
Mbona unafanya mambo kimya kimya sasa?
Wasalimie B*** na T** sana,....
pwh zimefika, hop j3 2tamiti huko cs lab..