Malaria Sugu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2009
- 2,653
- 266
Jana Mahakama imewataka polisi wametakiwa Kuacha kumfungua Pingu sheikh Ponda kwani ni udhalilishwaji mkubwa kwa haki za binaadamu nchini.
wametakiwa kuacha kutumia vibaya sheria zilizopo
Jana Mahakama imewataka polisi wametakiwa kumfunga Pingu sheikh Ponda kwani ni udhalilishwaji mkubwa kwa haki za binaadamu nchini.
wametakiwa kuacha kutumia vibaya sheria zilizopo
Jana Mahakama imewataka polisi wametakiwa Kuacha kumfunga Pingu sheikh Ponda kwani ni udhalilishwaji mkubwa kwa haki za binaadamu nchini.
wametakiwa kuacha kutumia vibaya sheria zilizopo
TUANDAMANE, Leo Ijumaa imefika siku ya uhalifu kitaifa. Kupora, kuchoma makanisa, kuiba, kubaka na kufanya kila aina ya uchafu kwa kisingizio cha kusaka haki na kumtetea mtume
kumbe mtu anapokomboa kitu chake ni kosa japo dogo ee! ok.kumbe muhalifu aliefanya kosa dogo hatakiwai afungwe pingu na akifunga ni kinyume na sheria ee! ok. tukipata wanasheria kama ninyi mtatusaidia sana.Jana Mahakama imewataka polisi wametakiwa Kuacha kumfungua Pingu sheikh Ponda kwani ni udhalilishwaji mkubwa kwa haki za binaadamu nchini.
wametakiwa kuacha kutumia vibaya sheria zilizopo
SOURCE: REDIO IMAAN.
MY TAKE:
KUMBE MBWEMBE ZOTE ZA POLISI WANAZOTUMIA KWA SHEIKH PONDA NA WAISLAM NI SHINDIKIZO NA KUWAFURAHISHA WATU FULANI NA SIO KWA MUJIBU WA SHERIA.MFUMO KRISTO HADI KWA DPP NA JESHI LA POLISI?
MBONA HATUKUWAHI KUMUONA ABDALLA ZOMBE, MCHUNGAJI MTIKILA NA WATUHUMIWA WENGINE NA IWE KWA SHEIKH PONDA AMBAE AMESHTAKIWA KWA KOSA DOGOTU LA KUKIKOMBOA KIWANJA CHA WAISLAM?
Sema kwa waislamu wote ondoa neno watanzania wote kwani sisi hatupo kwenye hila zenu za kigaidi!Waislamu wakiongea mnasema walalamishi hiyo kazi kwenu tutapigana mpaka haki ipatikane kwa watanzania wote.
Teh teh teh!Mfa maji haishi kutapatapa!Abdallah Zombe kumbe naye ni mkristo.
Kwetu ni gaidi la nguvu na tunataka sheria ichukue mkondo wake mara moja!Shekh ponda kwetu bado ni shujaa mkubwa kwani ata nabii yusuf alifungwa jela kwa kosa ambalo si lake na kupelekea ukombozi
Mwandikie malalamiko yako DPP, ukiyaleta hapa, hakutakuwa na mabadiliko yeyote, sana sana waweza jikutwa unapandishwa ghadhab na kuharibiwa Ijumaa yako.